Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Mkuu kaa na Fundi carpenter mwambie wewe unataka hilo jiko liwe vipi?Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada
Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo vingine kama nyanya, vitunguu n.k.
Natanguliza shukrani
Nashukuru sanaa kwa ushauri wakoMkuu kaa na Fundi carpenter mwambie wewe unataka hilo jiko liwe vipi?
Halafu nyanya ndani ya kabati za jiko si zitaoza mkuu
Kama nyanya weka kwenye friji sio kwenye friza
Nyanya kwenye ubaridi wa kawaida zinakaa sana
Kumbuka jiko la gesi linahitaji hewa hivyo lazima kabati lako liwe wazi nyuma au mtungi ukae nje ya nyumba kama kuna usalama
Nashukur sana nitazingatia mawazo yakoVyombo huwa ni kabati ndio zuri kuhifadhia ila kikabati kidogo chakuwekea jiko kama hili linafaa lkkn yapo makubwa zaidi yana milango mitatu
Rangi nzuri ipi mkuu?Vyombo huwa ni kabati ndio zuri kuhifadhia ila kikabati kidogo chakuwekea jiko kama hili linafaa lkkn yapo makubwa zaidi yana milango mitatu
jee hilo jiko lako ni nyumbani kwako au kwa kupangisha?Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada
Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo vingine kama nyanya, vitunguu n.k.
Natanguliza shukrani
Ni pakupanga mkuu so nahc kabati ambalo lipo simplejee hilo jiko lako ni nyumbani kwako au kwa kupangisha?
ikiwa ni nyumbani kwako basi tafuta fundi akupangie vizuri makabati pamoja na sehemu ya kuweka gas cooker au electric cooker.
Idadi ya makabati itategemea mfuko wako.
Ngoja nikutafutie rangiRangi nzuri ipi mkuu?
Sawa nitashukuruNgoja nikutafutie rangi
Sawaa mkuu nashukuru kwa mawazoMwambie fundi akutengezee kama hii achana na vile vidogo vyenye tundu. Hii haizidi 150k ila ni multipurpose
View attachment 2607715
YES hii kubwa ndio Ina nafas nzuriMwambie fundi akutengezee kama hii achana na vile vidogo vyenye tundu. Hii haizidi 150k ila ni multipurpose
View attachment 2607715
Fundi wa wapi uyo mzee kwa hyo price…?Mwambie fundi akutengezee kama hii achana na vile vidogo vyenye tundu. Hii haizidi 150k ila ni multipurpose
View attachment 2607715
Umemaliza dear
Ok sawa rangi angalia hapo alipoweka@depalSure lakn nipo nyumba ya kupanga so naona kama itachukua nafasi kubwa so mimi naona ile ya mwanzo uliyonitumia picha yake ndio nzuri kwa mazingr chumba nilichopanga but baadae ntakuja kununua hii kubwa
Nashukuru sanaa #AaliyyahOk sawa rangi angalia hapo alipoweka@depal
Nashukuru sanaa #Aaliyyah
Shukran pia karibuNashukuru sanaa #Aaliyyah