Naombeni ushauri wa furniture nzuri kimuundo ya kuwekea jiko la gas(oryx) vyombo na viungo vingine vya kupikia

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1,762
Reaction score
1,823
Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada

Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo vingine kama nyanya, vitunguu n.k.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu kaa na Fundi carpenter mwambie wewe unataka hilo jiko liwe vipi?

Halafu nyanya ndani ya kabati za jiko si zitaoza mkuu

Kama nyanya weka kwenye friji sio kwenye friza

Nyanya kwenye ubaridi wa kawaida zinakaa sana

Kumbuka jiko la gesi linahitaji hewa hivyo lazima kabati lako liwe wazi nyuma au mtungi ukae nje ya nyumba kama kuna usalama
 
Nashukuru sanaa kwa ushauri wako
 
Vyombo huwa ni kabati ndio zuri kuhifadhia ila kikabati kidogo chakuwekea jiko kama hili linafaa lkkn yapo makubwa zaidi yana milango mitatu
 
Attachments

  • Screenshot_2023_0502_205616.png
    Screenshot_2023_0502_205616.png
    103.2 KB · Views: 35
Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada

Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo vingine kama nyanya, vitunguu n.k.

Natanguliza shukrani
jee hilo jiko lako ni nyumbani kwako au kwa kupangisha?

ikiwa ni nyumbani kwako basi tafuta fundi akupangie vizuri makabati pamoja na sehemu ya kuweka gas cooker au electric cooker.

Idadi ya makabati itategemea mfuko wako.
 
Ni pakupanga mkuu so nahc kabati ambalo lipo simple
 
YES hii kubwa ndio Ina nafas nzuri
Sure lakn nipo nyumba ya kupanga so naona kama itachukua nafasi kubwa so mimi naona ile ya mwanzo uliyonitumia picha yake ndio nzuri kwa mazingr chumba nilichopanga but baadae ntakuja kununua hii kubwa
 
Back
Top Bottom