Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

majini wa faida kama lile la kusugua taa washakufa sahizi wamebaki wale wa ku block harakati zako wajinga wajinga tu 😀
 
jaribu kwa kalumanzila
 
Achana naye endelea na maisha yako hiyo hela ipotezee kuna maisha baada ya kuachwa.
 
Nikinywa sumu nakufa kabisa mkuu, sitanii
Ukitaka kunywa unawapanga wana wanakuwai na vijimaziwa.
Skendo inaenea mtaani binti anasikia basi atajisikia faraja atajua uko na upendo wa kweri.
Mwisho Wa siku chuma inaliwa na kutu
 
Achana nae akisha zalishwa na muhuni huko atarudi tena kwako .
 
Huyo demu mimi ndo nasimamia ukucha kumuweka sawa, Sasa amesharidhika na mimi,hana mpango na wewe, Kwanza Achana naye.
 
laki 5 yote umeliwaje na hujala utamu mzee?? pole ila ukiweza mpe fundisho kwa kujifanya mtu mwingine anza kumchatisha weka mtego mkutane hata hotel mnyooshe kama una hela haruki
 
Ukitaka kunywa unawapanga wana wanakuwai na vijimaziwa.
Skendo inaenea mtaani binti anasikia basi atajisikia faraja atajua uko na upendo wa kweri.
Mwisho Wa siku chuma inaliwa na kutu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wataniona mshamba
 
laki 5 yote umeliwaje na hujala utamu mzee?? pole ila ukiweza mpe fundisho kwa kujifanya mtu mwingine anza kumchatisha weka mtego mkutane hata hotel mnyooshe kama una hela haruki
Kasema hanitaki. Kuwa mwelewa acha ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…