Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

“Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea” hapa ndipo penye tatizo hujatembea ipasavyo! Ni tamaa tu uliyonayo juu yake mkuu wapo wengi wazuri kuliko hata yeye!
 
Nimesoma halafu nikarudi kuangalia identity nikaona mpwayungu village,,nikaona nikaona nimuachie Smart911 aje atoe ule ushauri wake unaishia " siku hizi ni wabishi"
 
Hakuna kitu kinakera kama tongozo ng'ang'anizi toka kwa mwanaume usiyempenda.........

Ila.na yeye kisa cha kula hela zako...anyway hakukuomba ni kiherehere chako

Kunywa maji mengi songa mbele.....
 
Mkuu bado haujajinyonga tu ila samahani mkuu nauza kama zile ngumu kabisa zenyewe uwakika na ufanisi wa kazi yako naomba uniungishe kwanza kabla hujafa
 
We kweli hamnazo badala ukamnyonge aliyekula hela zako ww unataka ukajinyonge wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa kukataliwa tu analia Lia hivi ataweza kumnyonga[emoji16]
 
Hujaumia kukataliwa iliyokuuma ni hela na yeye amekulaje hela ya mtu asiempenda [emoji16]
inawezekana umekuwa kero hebu punguza mazoea na kumsumbua ikiwa riziki yako atakuja tu mwenyew
 
Daaaah laki tano imeenda, sema poa tu fanya kama umetoa msaada tu
 
Hujaumia kukataliwa iliyokuuma ni hela na yeye amekulaje hela ya mtu asiempenda [emoji16]
inawezekana umekuwa kero hebu punguza mazoea na kumsumbua ikiwa riziki yako atakuja tu mwenyew
Duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kero tena
 
“Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea” hapa ndipo penye tatizo hujatembea ipasavyo! Ni tamaa tu uliyonayo juu yake mkuu wapo wengi wazuri kuliko hata yeye!
Sawa ila kwa macho yangu ya nyama nimemuona yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…