Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Wewe ndio bwege namba mbili ....na nyie ndio mnadanganyana Sana humu kuwa ukiwa na Ela kila kitu kimeisha .Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Wanawake wa hivyo wanaliwa kwa timing mkuu sio Kama hivyo mnavyo fanya nyie wazembe .....Hadi hapo kwa njia halali umesha poteza pambano.