Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Mkuu jinyonge chap, akisiki hivyo atakupenda nawewe utafufuka mtaanza mapenzi yenu
 
Nakushauri uende haja kubwa kwa ufasaha kabla ya kujinyonga,... wenzako wote waliojinyonga walitupa shida ya kuwatoa kwenye kitanzi wakiwa na harufu Kali ya makimba.....
Mkuu acha utani, sifanyi utani hapa iam very serious
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushajinyonga au bado?
 
Kajinyonge ili uepushe dunia na kupata kizazi cha wanaume wajinga kama ww
 
Relax, na amini kuwa hiyo ni stage katika mapenzi, wote humu ndani wanaume kwa wanawake tumewahi kukataliwa na wale tuliowapenda sana.

Unachotakiwa kufanya ni kuwa bize na mambo yako, na hapa ikumbukwe kuwa bado utaumia lkn unapaswa kuvumilia, ni suala la miezi kama mitatu tu itakufanya umsahau au umuone wa kawaida.

Mungu akutangulie, na nakuombea sana usiwe na wazo la Kuua au kujiua
 
Mungu kakuepeusha na Majanga,.. Mshukuru Mungu kwa kukulinda na maisha hatari... Yupo akupendae, chukulia kwamba hizo pesa si lolote zaidi ya lile Mungu alilokuepusha nalo,.. Kuna watu wanaambiwa NAKUPENDA lkn wanaishi kwa mateso na dharau.. Wewe mshukuru Mungu kulijua hilo kwamba hakutaki mapema
 
Labda juu ya kaburi utanipenda mimi nikiwa sina uhai hisia zangu haziheshimiwi najidharau sifai ni heri ya upofu wa macho kuliko nnayoyaona umeruhusu mboni zangu kumwaga machozi,

Ila barakhah alikuwa anaimba sana mkuu kabla ya kufanya maamuzi sikiliza siwezi ya barakha itakupunguzia machungu.
 
... Mbaya zaidi kuna watu uliowazidi kila kitu kwa status unasikia wanakula kimasihara tu.
 
Nishauri ndugu naangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…