Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Relax, na amini kuwa hiyo ni stage katika mapenzi, wote humu ndani wanaume kwa wanawake tumewahi kukataliwa na wale tuliowapenda sana.

Unachotakiwa kufanya ni kuwa bize na mambo yako, na hapa ikumbukwe kuwa bado utaumia lkn unapaswa kuvumilia, ni suala la miezi kama mitatu tu itakufanya umsahau au umuone wa kawaida.

Mungu akutangulie, na nakuombea sana usiwe na wazo la Kuua au kujiua
[emoji22][emoji22][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Asante ila siwezi msahau
 
Tuelekeze ni wapi utazikwa tufike kushiriki mazishi au kama utataka ufe baada ya mfungo ni wewe au ule Iddi kwanza ni wewe utachagua mwenyewe lakini nakushauri usijinyonge mbali na kwenu utatusumbua kubeba maiti yako
 
Dah [emoji22]
 
Hello!!! Albert Einstein aliwahi kusema hivi "in the middle of difficulty, lies opportunity.....

Nelson Mandela akasema "it's always seems impossible until is done"...

Albert Einstein anamanisha kuwa katikati ya changamoto (ugumu) ndipo kuna fursa. So, ugumu huo chukulia kama changamoto tu then zigeuze kuwa fursa Mkuu, alafu kukimbia (kujiua) haikuwezeshi wewe kutatua tatizo (kumpata huyo msichana) bali unataka kuongeza tatizo.

N. Mandela anakwambia jambo likiwa bado halijatimia/ kufanikiwa huonekana haliwezekani. Mahusiano ni uwekezaji(investment) kama uwekezaji mwingine wowote. Hivyo unavoanzisha mahusiano yoyote lazima uwe na investment capital (mtaji) hapa tuna maanisha lasilimali PESA na MUDA pia, ukiwa na vitu hivi viwili plus MONITORING & CONTROL (USIMAMIZI) tegemea mafaniko lakini siyo lazima ufanikiwe. Sasa wewe umeweka PESA tu, Je vp kuhusu MUDA?. Lakini pia hakuna investment isiyo kuwa na risks, ukiyajua yote haya huwezi kufiria kujiua au kukimbia tatizo Mkuu, So jipe muda utafanikiwa hata kama siyo mwk huu.

Mwisho kabisa Mwanafalsafa Plato anasema "Love is a serious mental disease"...

I rest my case!

Hope umenielewa Mkuu!!!
 
Let him suicide him self, dunia inazidi kujaa kwa kasi ya ajabu so takataka kama hizi ziacheni ziwahi kuzimu zinajaza nafasi tu.

Au kama vp aombe viza aende mariopol Ukraine
 
Duuuuuhhhhh [emoji122].upo skillful brooo, Asante sana nitazishikilia falsafa zako
 
Let him suicide him self, dunia inazidi kujaa kwa kasi ya ajabu so takataka kama hizi ziacheni ziwahi kuzimu zinajaza nafasi tu.

Au kama vp aombe viza aende mariopol Ukraine
Brooo vp tena mbona huwa nakuona upo very intelligent, imekuaje tena
 
Postmortem,... dalili mbili za kwanza ni kuangalia shingo iliyovunjika na kama ulipata haya ya kutosha mpaka Ile waislamu wanayoita ya ngama,... baada ya hapo ndio wanatafuta sababu ya kujinyonga.

Bro usijinyonge kwa ajili ya K utatuachia shida ya kuisoma biograph yako!

Embu uliza hapo Duka la jirani kwa mangi kama Kuna sabuni ya kuitwa Revola (sp).
Mkuu acha utani, sifanyi utani hapa iam very serious
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Unampaje demu hela tofauti na gest? Umezembea mwenyewe wewe kama vipi jinyonge tu
 
Back
Top Bottom