Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Dah.. Laki tano wengine ni kizinga kimoja tuu .. Wengine bajeti ya wiki.. Wengine ndo kila kitu..life is not fair
Harmo kaweka na bango la 12M na bado kachuniwa. Hajanywa sumu wala nini
@Mshana Jr bora umekuja naomba tuchat inbox please Sema pm yako haini allow kukutext naomba uni pm
 
Iyo nukuu isikukatishe tamaa komaaa tu ndio walivyo hao
 
Mkuu kujinyonga inachukua mda mrefu nashauri panda kijazi pale mpaka juu then niachie
 
Wakat unatoa hela alikushikia bunduki?

Manyoko zako kafie mbele huko

Nilisahau nauza kamba za katani ngumu zinafaa kwakujinyongea niungishe mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu laki tano mbona sadaka tu mimi nimetoa juzi kumsaidia mtu ambaye hata sitarajii kukutana naye?

Yani binti kadanga tu, kanikuta mkao wa kutoa sadaka, nikampa matakwa yake kama hadithi jini la kusugua taa lile.

Na hapo kuna wengine wawili watu nawajua niliwapiga laki tno tano hivyo hivyo, katika wiki moja tu.

Pesa maua, hasara maisha.

Na hayo mapenzi mbona kuna wengine mamilioni wapo?
Aisee! siku ukiwa na mkao wa kutoa sadaka nikumbuke mkuu katika ufalme wako [emoji2]
 
R.I.P Commander!!...Muwe mnahudhuria vikao.
 

Attachments

  • b16569218835540a7f37c53c6f34018d.mp4
    770.7 KB
Back
Top Bottom