Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25 upana.
Ninaombeni ushauri hivi kwa ukubwa huo ninaweza kupata nyumba ya vyumba vingapi ikiwa nyumba itakuwa na kila kitu ndani!Kumbuka nimepata eneo hilo Baada ya kutoa eneo la fensi,parking ya gari,eneo la kuchimba shimo la maji taka.
Hivyo eneo nililotaja ni la nyumba tu!