Naombeni ushauri wa haraka kuhusu jambo hili

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25 upana.

Ninaombeni ushauri hivi kwa ukubwa huo ninaweza kupata nyumba ya vyumba vingapi ikiwa nyumba itakuwa na kila kitu ndani!Kumbuka nimepata eneo hilo Baada ya kutoa eneo la fensi,parking ya gari,eneo la kuchimba shimo la maji taka.

Hivyo eneo nililotaja ni la nyumba tu!
 
Site ipo sehem gan tufany kaz io boss
 
Site ipo sehem gan tufany kaz io boss
Design y nyumba yako inategemean na site plan yako ilivyo apa namaanish kua parking lot itakapokaa septik tank main gate etc
 
Oom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…