SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Waku za sahizi asee nimekuja hapa kuomba ushauri wenu kidogo kwa ambae atakuwa na wazo zuri
Picha inaanza mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 20.
Changamoto yangu ni kuwa mapumb* yangu ni makubwa sana wakuu inaniwia vigumu hata nikifanya mazoezi hasa hasa ya kuruka maana yanakuwa yananesa nesa kama kitenesi hivyo inabidi niyashikilie au niyafunge na nguo
Mda mwingine hata nikitembea au nikikaa vibaya nahisi kama mzigo kwangu 🤔🤔 😒. Na nikikaa vibaya nahisi kama nayakandamiza sasa wanangu naombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua hata mitishamba au dawa yoyote ya kupunguza size ya mapumb* anishauri hapa.
Asanteni sana muwe na wiki njema 😶