Naombeni ushauri wadau hasa wanao hifaham course itwayo Agro-business.....

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,034
Reaction score
6,571
wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata kweli kwa matokeo haya?...je anaweza soma course nyingine za business kwa matokeo haya? nimemshauri aombe education lakini anapenda course za biashara hasa hiyo agro business....
naombeni ushauri wenu wana Jf
 
Aombe Business study! Ni Education lakin atasoma Accounts, Economics na business statistics! Ataendelea kufurahia career yake na si lazima baadae afanye kazi ya ualimu!
 
Cha muhimu aingie website ya TCU na kuangalia cut off za vyuo,Kimsingi hiyo ya SUA atapata kwani cut off yake ni 3 na yeye anazo sita!
GOOD LUCK
 
thanks mkuu, ushauri wako mzuri. vip kuusu soka la ajira kwa hii course?
 
Aombe Business study! Ni Education lakin atasoma Accounts, Economics na business statistics! Ataendelea kufurahia career yake na si lazima baadae afanye kazi ya ualimu!

hata mm nilimsauri hivyo, ila alipenda zaidi business kabisa
 
Cha muhimu aingie website ya TCU na kuangalia cut off za vyuo,Kimsingi hiyo ya SUA atapata kwani cut off yake ni 3 na yeye anazo sita!
GOOD LUCK
shida si cut off...shida ni compitition iliyopo....mwaka jana waliapply watu zaid ya 900 wakachukuliwa kama 200 hivi....sizani kama umeelewa mkuu..
 
Aombe Business study! Ni Education lakin atasoma Accounts, Economics na business statistics! Ataendelea kufurahia career yake na si lazima baadae afanye kazi ya ualimu!

kwa matokeo hayo...agribusiness is the best..
unaweza jazia na hiz
-BAF(Mzumbe au ardhi)
-accountants ya MUCCOBS..
ushauri...ukiwa unaaply kozi angalia unayopenda na sio soko...maana soko linabadilika day to day...
 
-BAF(Mzumbe na ardhi)

well said....ushauri wako mzuri nazani wahusika wamekuelewa
 
Mwenye div 3 ya 15 je. . .E tatu na F gs na bam lakini or level ana C ya hesabu. . .anaweza soma agribussines?
 
kwa matokeo hayo...agribusiness is the best..
unaweza jazia na hiz
-BAF(Mzumbe na ardhi)
-accountants ya MUCCOBS..
ushauri...ukiwa unaaply kozi angalia unayopenda na sio soko...maana soko linabadilika day to day...

akhsantee kwa ushauri wako mzuri
 
Mwenye div 3 ya 15 je. . .E tatu na F gs na bam lakini or level ana C ya hesabu. . .anaweza soma agribussines?

kuna jamaa kasema cut off zao ni 3...hapo una mbili tu
 
Mwenye div 3 ya 15 je. . .E tatu na F gs na bam lakini or level ana C ya hesabu. . .anaweza soma agribussines?

Kutokana na ushindan uliopo kwenye hiyo kozi inaweza kua ngum..japo anaweza apply pia!!
 
E ni 1 na s ni 0.5
na wana chukuwa masomo mawili kama sikosei
 
Back
Top Bottom