Naombeni ushauri wadau hasa wanao hifaham course itwayo Agro-business.....

Naombeni ushauri wadau hasa wanao hifaham course itwayo Agro-business.....

Mhh...unaongelea one 1000???....hahaahaaa mwaka huu kuna division one 325 tu.....wanaume 188 na wasichana kama 130 na ushee hivi....iyo nilisoma gazeti la mwanachi......kwa jinsi ilivyo mwaka huu ni kuapply tu ushindani mdogo kwani wengi wako na div 3 ya 14 na kuendeleea

aisee tatizo nini mkuu?....
 
jamanii wakuu cut off za sua hiyo agribusiness ni 3.6 dogo yeye ana 6.5, apo kubata nayo itakuwa ni ngumu?
 
jamanii wakuu cut off za sua hiyo agribusiness ni 3.6 dogo yeye ana 6.5, apo kubata nayo itakuwa ni ngumu?

Angalia compimetition na sio cut point kijana!!!
 
iyo coarse iko pwa, sema naonaga wanachukua sana pcb, cbg, cbn., ila we omba 2 kamanda, chek na ardh univ. wanavicourse vzur kwa comb yako. , kama land evaluation, building economics etc hongera jomba.
 
Npo agribznes yr1,n kwel cut off points m chache lkn ushindan huathir sana wenye ufaul mdogo!eg,mwk jana waliomba zaid ya mia5,lkn admis.capacity n mia2 tu!(kumbuka agrbznes ni priority kwa mkopo,na watoto wa wakulma wenye vijt na 2 zao hujmwaga).Pia mwk jn chuo ilbd wapunguze wa2 60,baada ya tcu kuwazdsha bla matakwa ya chuo.cdhan km atahmil ushndan,bt atest zal!
 
hapo umefunga kazi, kwani watu wa HGE huwa wanachaguliwa kweli?
 
Hge,egm,pcm,pcb..,maths inahusika,hge bam inawabeba!
 
iyo coarse iko pwa, sema naonaga wanachukua sana pcb, cbg, cbn., ila we omba 2 kamanda, chek na ardh univ. wanavicourse vzur kwa comb yako. , kama land evaluation, building economics etc hongera jomba.

Si kila ukiona economics unadhan ni uchum unaoujua wewe!!! Hiyo build economics kama hujasoma pure unajitafutia matatizo!! Humo kuna kozi za adv maths..survey...MECHANICS..Ambazo kwa namna moja mtu wa hge itamtoa jasho!!!
 
acha uoga dogo... ucdhani chuo ni huko advance.. inakutoa jasho ukimaliza unapeta, ila sory ckulazmishi... ukishamaliza hayo mauza uza unayotaka ndo utakuja kutofautisha jasho la mtaani na ilo la chuo..!
 
wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata kweli kwa matokeo haya?...je anaweza soma course nyingine za business kwa matokeo haya? nimemshauri aombe education lakini anapenda course za biashara hasa hiyo agro business....
naombeni ushauri wenu wana Jf
nafikiri hiyo ni div 2 ya 12.. ukijumlisha na F ya g.s sijui ina penalty hiyo inaweza ikawa div 3..sina uhakika ila kimsingi kama anataka bum kwa hiyo kozi sua ni priority so atapata kuna mwanangu mmoja amemaliza tupo nae kitaa huku ila ajiandae na kulima..ila kama anataka kurisk mambo Udsm..Economics anaweza pata tu ila cjui B.com kama watamchukua ukilinganisha na kiwango cha ufaulu cha mwaka huu wanaweza!!..ila Economics Udsm ni uhakika...sema ni non priority hiyo..!!!
 
Si kila ukiona economics unadhan ni uchum unaoujua wewe!!! Hiyo build economics kama hujasoma pure unajitafutia matatizo!! Humo kuna kozi za adv maths..survey...MECHANICS..Ambazo kwa namna moja mtu wa hge itamtoa jasho!!!
Duuuh dogo mbona mie ameshajaza form zao na sidhani kama analijua hayo mambo ya pure mathematics..!!!
 
Kwa uelewa wngu mdogo; hiyo ni koz ya uchumi kilimo tuliosoma kilimo ngaz ya cheti na diploma watakua wanafaham kuwa ni lazma uisome kama module inayojtegemea inayohusu mambo ya kufanya kustawisha biashara kwa njia ya kilimo ila cna hakika kama ina soko la ajira!
 
Back
Top Bottom