shida si cut off...shida ni compitition iliyopo....mwaka jana waliapply watu zaid ya 900 wakachukuliwa kama 200 hivi....sizani kama umeelewa mkuu..Cha muhimu aingie website ya TCU na kuangalia cut off za vyuo,Kimsingi hiyo ya SUA atapata kwani cut off yake ni 3 na yeye anazo sita!
GOOD LUCK
Aombe Business study! Ni Education lakin atasoma Accounts, Economics na business statistics! Ataendelea kufurahia career yake na si lazima baadae afanye kazi ya ualimu!
Aombe Business study! Ni Education lakin atasoma Accounts, Economics na business statistics! Ataendelea kufurahia career yake na si lazima baadae afanye kazi ya ualimu!
kwa matokeo hayo...agribusiness is the best..
unaweza jazia na hiz
-BAF(Mzumbe na ardhi)
-accountants ya MUCCOBS..
ushauri...ukiwa unaaply kozi angalia unayopenda na sio soko...maana soko linabadilika day to day...

Mwenye div 3 ya 15 je. . .E tatu na F gs na bam lakini or level ana C ya hesabu. . .anaweza soma agribussines?