Naombeni ushauri wana jamvi.

Naombeni ushauri wana jamvi.

Martin Mhina

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
169
Reaction score
37
naamini mko poa xna wakuu,mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu cha Ilonga morogor na mwisho wa kuripoti chuon hapo ni tar 28 agost lakin nilituma maombi wizara ya afya ktk diproma ya clinical medicine but post zake hazieleweki zinatoka lini nami napenda afya so nifanyeje kama post za afya zitachelewa kutoka wakuu? nawaclisha.
 
kama unaweza kufika chuoni ulikopangiwa, nenda (deadline ikikarbia) katoe hata sababu za uongo za kuwa utachelewa kuripoti (labda tatzo ada nk ), kisha uendlee zako kusubiri nafasi ya afya.

Wakikubana sana itakulazma ukaripoti na ulipe garama chache za mwanzo ili uendlee kusubri post ya afya ukiwa chuoni. Huo ndo ushauri wangu.
 
naamini mko poa xna wakuu,mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu cha Ilonga morogor na mwisho wa kuripoti chuon hapo ni tar 28 agost lakin nilituma maombi wizara ya afya ktk diproma ya clinical medicine but post zake hazieleweki zinatoka lini nami napenda afya so nifanyeje kama post za afya zitachelewa kutoka wakuu? nawaclisha.

Unaweza kukosa vyote usipoangalia, watu wanaenda jeshini huku wamefanya interview sehemu nyingine then wakifaulu interview wanapiga chini tizi jeshini.Sasa wewe sembuse ualimu, nenda karipoti then ukifaulu wizara ya afya unatoka ualimu unaenda kuripoti wizara ya afya
 
nenda ukaripoti huko ILONGA kama ilivyo ada,huku ukiendelea kungoja hizo selection za afya,ikitokea umepata,unaachana na ualim unaenda zako afya,hakuna tabu hapo,ila kareport kwanza ualim usije ukakosa vyote.
 
Kumbe ww ni kama mimi, ualimu nimepangiwa mpwapwa, lakn afya ndio nipo interested nayo,
 
Kumbe ww ni kama mimi, ualimu nimepangiwa mpwapwa, lakn afya ndio nipo interested nayo,

Hahaaaa! tufanyejeje mkuu nitumie no.yako ya cm tuwacliane kk kwa kushauriana zaidi my no.0766848077 by martin
 
Back
Top Bottom