Naombeni ushauri wana jf

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Mimi mwaka jana nilifanya mtihani kidato cha sita na matokeo yakawa hiv Hist=F, geography=F , english=E , gs=S na mwaka huu nilivorudia matokeo yakawa hivi hist=E geog=c je wanajamvi nikiomba kwa hiyo E yangu moja ya mwaka jana na C ya mwaka huu ntaweza kupata chuo cha shahada angalau hata education naombeni msaada wenu wanajamvi msitukane mnishauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…