Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli penye miti hapana wajenziNdio inavyokuwaga mkuu kwenye miti hakunaga wajenzi yani pisi za manyara zote zile bado mtu anakuja na story za Ex
Mfate hukohuko songea mkayamalize hakuna njia nyingne.Nina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni, alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu na wala hatukua na lengo baya ni basi tu kujuliana hali.
Ila kilichomkasirisha yeye sio kuwasiliana nae bali ni kukuta ile namba ya ex wangu kwemye simu yangu tena na tunawasaliana wakati yeye mwenyewe ndio aliifutaga kwenye simu yangu kipindi cha nyuma. Ameniblock kila sehemu mpaka instagram ameniunfollow leo ni siku ya nne.
Bado nampenda sana na nina malengo nae. Naombeni ushauri, nifanyaje?
Pole sana.... Jikaze ndo ukubwa huoNina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni, alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu na wala hatukua na lengo baya ni basi tu kujuliana hali.
Ila kilichomkasirisha yeye sio kuwasiliana nae bali ni kukuta ile namba ya ex wangu kwemye simu yangu tena na tunawasaliana wakati yeye mwenyewe ndio aliifutaga kwenye simu yangu kipindi cha nyuma. Ameniblock kila sehemu mpaka instagram ameniunfollow leo ni siku ya nne.
Bado nampenda sana na nina malengo nae. Naombeni ushauri, nifanyaje?
Mwanangu huu utani wa siliaziii 😂Kuna demu nimelala nae hapa anakata simu kila dakika, then naona kabloku namba alafu naona anambloku mtu Instagram, Facebook, Twitter, WhatsApp, sijui huyo jamaa kamuuzi nini hapa songea.
Hata ningekua mimi ningekasirika na inaonekana bado unampenda Ex wako ndio sababu hukomi kuwasiliana nae. Mimi sina hata ushauri nikupe tu pole.
Usimtafute, atajileta mwenyewe
Kama kweli vile... mwanamke upendo ukiisha anakutazama tu hata ulale na mwanamke mbele yakeBado a nakupenda huyo,ukiona demu ana hasira na wewe ujue anakupenda ila ukiona hana hata hasira juu ya ulichomfanyia jua hauna chako hapo.
Pili demu akiwa anakublock block hivi iko siku ataku unblock akishakumis.
Tulia tuliiiiiiii wala uspigekwa namba ngeni atajileta mwenyewe.
Wewe kilichokufanya usave tena hiyo namba ya ex wako ni Nini? Huu ndio Huwa tunaita "ugulu ugulu" tatizo unalijua wewe ndiye mkorofi halafu haya mambo ya ex ex haya yanaharibu sana siku hizi mtu ulishaachana naye ukaanza maisha yako mawasiliano yanini tena??? Kama unadai unampenda fungal safari uende mkazungumze mapenzi ni gharama eboo....!!!!!Nina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni, alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu na wala hatukua na lengo baya ni basi tu kujuliana hali.
Ila kilichomkasirisha yeye sio kuwasiliana nae bali ni kukuta ile namba ya ex wangu kwemye simu yangu tena na tunawasaliana wakati yeye mwenyewe ndio aliifutaga kwenye simu yangu kipindi cha nyuma. Ameniblock kila sehemu mpaka instagram ameniunfollow leo ni siku ya nne.
Bado nampenda sana na nina malengo nae. Naombeni ushauri, nifanyaje?
Wewe ukimkuta mpenzi wako anawasiliana na Ex wake na namba ulishafuta kaisave tena utapata picha gani? Ukiachana na mtu hakuna sababu yoyote ya kuendelea kuwasiliana nae ama la ni njia ya kuendelea kupasha viporo.Jaman kuwasiliana nax ni kumpenda tena???We hujawahi wasiliana na x wako hata mmoja?
HahahaKuna demu nimelala nae hapa anakata simu kila dakika, then naona kabloku namba alafu naona anambloku mtu Instagram, Facebook, Twitter, WhatsApp, sijui huyo jamaa kamuuzi nini hapa songea.
IdiotNina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni, alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu na wala hatukua na lengo baya ni basi tu kujuliana hali.
Ila kilichomkasirisha yeye sio kuwasiliana nae bali ni kukuta ile namba ya ex wangu kwemye simu yangu tena na tunawasaliana wakati yeye mwenyewe ndio aliifutaga kwenye simu yangu kipindi cha nyuma. Ameniblock kila sehemu mpaka instagram ameniunfollow leo ni siku ya nne.
Bado nampenda sana na nina malengo nae. Naombeni ushauri, nifanyaje?
HahahaTufanye icho ulichokifanya angekifanye yeye alafu akakwambia ni mazungumzo ya kawaida tu ungekubali?
Mshika mbili moja umponyoka nenda kwa ex kajipoze machungu.
Maex wakishaona Mambo yako yanaenda kuwa mazuri wanageukaga wachawi