Naombeni ushauri wanaume wenzangu

Pole sana mkuu,, jaribu kwenda kwao na itisha kikao kidogo cha family ili kupata shuruhisho,,na pia ukienda kwao utajua mengi,,...
Ukienda kwao watakuwa Upande wake, hujui moshi wewe
 
Huna haja ya kulalamika Mkuu, mkeo amekuachia makinikia hapo ndani aiseeeee.....[emoji2] [emoji2]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] asa siatakua anakula kuku na mayai yake??
 
Vipi mshajenga? Mna mtuka!! jaribu kula mdogo mtu mila itimie kama utamaliza mwaka
 
Sina maana ya kukuharibia uzi lakini wakati mwingine muwe makini. Watu wanaumiza vichwa kuwashauri kumbe mnawa kejeli tu. Sasa inawezekanaje uwe mwanamke Juzi na leo uwe Mwanaume tena mwenye mke??? Kuweni makini wana JF mnaoumiza vichwa kuto ushauri wengine ni watu wa ajabu ajabu kama huyu
 
Mwache akae kwao siku Akirudi amkute mdogo wake umemtia ujauzito wa miezi kadhaa atajua maana ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…