Naombeni ushauri wanaume wenzangu

Msubilie mkalishe mueleze kuwa sihitaji kwenda kwenu ukienda nakuchapa talaka arudii
 
Mkuu nimekuelewa sana uko vizuri,,nimempa ushauri lakini inaonekana hayupo tayare kupokea ushauri,,

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hizo mila za kijinga bana,hapo tatizo jamaa hasimami kama mwanaume ww utaachaje mkeo akakae kwao miezi miwili? Lipo tatizo si bure
 
Unaniangusha sana,sasa yeye kaondoka kakiachia mdogo wake,ndio mkeo huyo mtoto mbichi kabisa.
 
Unachapiwa we fala
 
Fuatilia hizo safari, si kila safari yuko kwao, ila utakayokutana nayo yatakupa point ya kuanzia maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…