Naombeni ushauri wanaume wenzangu

Naombeni ushauri wanaume wenzangu

View attachment 523747Sina maana ya kukuharibia uzi lakini wakati mwingine muwe makini. Watu wanaumiza vichwa kuwashauri kumbe mnawa kejeli tu. Sasa inawezekanaje uwe mwanamke Juzi na leo uwe Mwanaume tena mwenye mke??? Kuweni makini wana JF mnaoumiza vichwa kuto ushauri wengine ni watu wa ajabu ajabu kama huyu
Mkuu nimekuelewa sana uko vizuri,,nimempa ushauri lakini inaonekana hayupo tayare kupokea ushauri,,

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hizo mila za kijinga bana,hapo tatizo jamaa hasimami kama mwanaume ww utaachaje mkeo akakae kwao miezi miwili? Lipo tatizo si bure
 
Unaniangusha sana,sasa yeye kaondoka kakiachia mdogo wake,ndio mkeo huyo mtoto mbichi kabisa.
 
Sina maneno mengi Sana ILA Naombeni ushauri kwa hili, ninaishi na mke na tumebarikiwa kupata watoto wawili.

Kilichofanya nije kuomba ushauri hapa Ni kuwa kwa sasa ruti za mke wangu kwenda kwao moshi haziishi, na wakati mwingine hukaa hadi miezi miwili bila sababu ya maana.

Ana mdogo wake WA kike kamaliza form six ndo nimebaki nae hapa.
Nisipopiga Sana kelele za yeye kuja haji hadi nipige kelele ndo aje, na Kuna wakati mdogo wake huniambia Shemeji bwana kama hataki kuja mwache hadi atakapoamua mwenyewe, .

Ndugu zangu wamesema hadi wamechoka.
Tafadhali nishaurini Ni uamuzi gani nifanye kwa Mara ya mwisho maana hadi hivi navyoandika hapa yupo kwao.

Matusi sio mazuri, nahitaji ushauri
Unachapiwa we fala
 
Fuatilia hizo safari, si kila safari yuko kwao, ila utakayokutana nayo yatakupa point ya kuanzia maamuzi
 
Back
Top Bottom