Naombeni ushauri wanaume wenzangu

Naombeni ushauri wanaume wenzangu

Hiv kumbe ndoa zipo hvyo Miez miwili mtu anasepa ananiacha na mdogo wake daah akirud anakuta manyoya
 
Akiondoka anaondoka na watoto Pia au Ananondoka Mwenyewe? Una Uhakika hao watoto ni wakwako au wa huyo wa Moshi.. Je Kikifika Kipindi cha kubeba ujauzito wa hao watoto wawili alikuwa akienda Pia kwao?

Najaribu kuwaza Maake hizi safari za Mke kwenda kwao hazijawahi kuiacha ndoa Salama hasa pale wazazi wa Mke ndio wako Nyuma na Baraka Tele wametoa.

Ogopa Sana mzazi kumkaribisha Mtoto wake wa Kike kukaa kwao hata zaidi ya Wiki bila kuambatana na Mume wake..

Labda tena nikuulize Mumefunga Ndoa au mlijikuta tu Mko wote Pamoja. Kama hamjawahi kufunga Ndoa aisee na kama umekuwa ukitoa ahadi usizozitimiza basi Kazi ndio Imeanza.

Nachangia Tu wala sina nia Mbaya.
 
Wewe na Shem nawaona nawaona!!!
pole lakn,jarbu kutafuta sababu ipi inayomfanya apapende zaid kwao kuliko kwake
 
Hadi mkeo awe na hizo guts basi kuna mahali unalegalega mkuu. Hebu jitathmini ni wapi ulikosea uanze kurekebisha.
 
mkuu sorry umeshabadili Jinsia???? JF in vituko kweili kweli

upload_2017-6-14_12-44-22.png
 
Anasema Mara anaenda kusalimia, Mara babake anaumwa.
Umesema ni Mke wako kama sijakosea?wakati anaondoko si mnakua mmesha agree kua anarudi siku flani? iweje abadilishe may be tuseme a day or two its fine akichelewa lakini sio that long,wewe ni mume na una mahitaji yako kwake,na hao wazee wake hawajui kama huyo ni mke wa mtu mpaka wajisahau,mke wako ana bahati sanaa Babangu sijui nimuite Old fashion hulali nyumbani kwake mpaka amepata simu au Talaka kutoka kwa mumeo ndio unalala hapo na anamuliza my Hubby mkeo yuko hapa for how long? wajukuu zake 24/7 ila mimi anakwambia No wewe ni mke wa mtu amri inatoka kwa mumeo ya kuja nakuondoka sio kwangu na hata nikiwa naumwa watoto wangu wa kike wakifika sawa hawajafika sawa
sina kinyongo nao,sasa mkeo anakwenda kwao akiwa ameka zaidi why wazee wake hawaulizi unarudi lini kwako? au hii tabia ulimzowesha zamani sasa huwezi kui control tena? as long as mna watoto jaribu kuongea nae tena...
 
Back
Top Bottom