naombeni ushauri wataalam kuhusu ujauzito

NDIZI MSHARE

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
25
Reaction score
4
Habari zenu wakuu mimi n mama mtoto mtarajiwa, nina takriban miez 5 sasa. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kufanya/kutokufanya tendo la ndoa, na pia katika kipind hiki cha ujauzito mwisho wa kufanya tendo hili hadi miez mingap! Nijuzen tafadhali. Thank you in advance.
 
nilivyosikia hiyo kitu haina shida kabisa kwa mama mjamzito, zaidi tu ni kuzingatia mikao na BABA WATOTO asinyuke sanaaa. Unaweza fanya hadi ukifikisha miezi 9 tisa na haina madhara!
 
Zingatia style mama!baba asije akataka style kama za kwenye porn!mtaaribu mambo!
Kitu tartiiiiiibu kiustaarabu kupanua njia!
Ukiacha njia itakuwa nyembamba na itakupa tabu kujifungua so kisu kinawezekana kikatumika!
Mwambie tu baba apige kistaarabu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapo kwenye kupanua njia siungi mkono hoja 100%; njia huanza panuka yenyewe kutokana na mabadiliko ya vichochocheo vya mimba. Tena ka ni mchunguzi utagundua tu!
 
Hapo kwenye kupanua njia siungi mkono hoja 100%; njia huanza panuka yenyewe kutokana na mabadiliko ya vichochocheo vya mimba. Tena ka ni mchunguzi utagundua tu!

Mkuu mimi dokta alimshauri wife hivyo ndio maana!labda kama aliniingiza chaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu mimi dokta alimshauri wife hivyo ndio maana!labda kama aliniingiza chaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wife wako akuwa kapewa ushauri na Dr Kanjanjaz! Si kila anaevaa nguo nyeupe hosp/clinic ni maDR % kubla ni Wauguzi na maTabibu tu! Na shule zao kuhusu matatitizo ya wajawazito ni ?¿**!!
 
nashukurun sana kwa ushaur wenu maana ilikua inanitatiza kua hili jambo limekaaje. Mungu awabariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…