NDIZI MSHARE
Member
- Aug 3, 2012
- 25
- 4
Habari zenu wakuu mimi n mama mtoto mtarajiwa, nina takriban miez 5 sasa. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kufanya/kutokufanya tendo la ndoa, na pia katika kipind hiki cha ujauzito mwisho wa kufanya tendo hili hadi miez mingap! Nijuzen tafadhali. Thank you in advance.