Naombeni Ushauri Waungwana

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Habari ndg jamaa na marafiki humu kwenye jukwaa , Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya Kidato cha Sita mwaka huu ,nipo nasubiri matokeo yangu Lakini ajabu ni kwamba wazazi wangu hawataki niende chuo endapo hata nikifaulu wanataka nibaki nyumbani nioe mke na kuwasaidia nyumbani (kuzalisha mali "NG'OMBE" za familia) Vile vile hawataki nijitafutie kivyangu ×
JE NIFANYEJE WANAJUKWAA Maana nipo njia panda
 
Naweza kukushauri ila sio lazima ufuate ushauri wangu kama haijakupendeza ,,kwanza wewe mkubalie tu usionyeshe kiburi...halafu matokeo yakitoka kama utakua umefaulu usiwashirikishe nyumbani fanya applications za mikopo na vyuo kimyakimya..ikitokea umepata mkopo nenda kasome
 
Tatizo lingine tena uchumi kwa upande wangu mm ni mtoto tu sijiwezi.
 


Eleza zaidi, umezaliwa mwenyewe, kwa nini wewe? Wana ukwasi na mali za kiasi gani kuendeleza?

Unaweza enda chuo ukamaliza, kazi hakuna, miradi ya wazee imekufa, ukataabika sana.

Unaweza endeleza miradi ya wazee, ikafanikiwa, na chuo ukaenda tu baadae, chuo kipo tu milele.

Kujiendeleza kivyano ni sawa, ila kama vipo vy Mzee vya kuendeleza shida nini?
 
Kwahiyo chuo ninaweza Enda hata baada ya muda gani mkuu
 
Kwahiyo chuo ninaweza Enda hata baada ya muda gani mkuu
Ukwel mimi lengo langu kubwa lilikuwa nisome chuo afu nitafute namna ya kujiari kupitia hiyo fani niitakayo . ndo hivo tena afu mm pia nilichelewa kusomeshwa shule now na umri 24yrs. Nifanye nini ili niyafikie Malengo
 
Sepa
 
Ukwel mimi lengo langu kubwa lilikuwa nisome chuo afu nitafute namna ya kujiari kupitia hiyo fani niitakayo . ndo hivo tena afu mm pia nilichelewa kusomesha shule now na umri 24yrs. Nifanye nini ili niyafikie Malengo
24yrs n mtu mzima na unamaamuz yko lkn pia ushauri wa mzee wako n mzuri km utanufaika na hiyo mirad ya mzee wako fanya hivyo afu utajiendeleza huko badae maamuz yko ndo matokee ya kesho kwa sasa hivi subir kwanza matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…