Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Habari ndg jamaa na marafiki humu kwenye jukwaa , Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya Kidato cha Sita mwaka huu ,nipo nasubiri matokeo yangu Lakini ajabu ni kwamba wazazi wangu hawataki niende chuo endapo hata nikifaulu wanataka nibaki nyumbani nioe mke na kuwasaidia nyumbani (kuzalisha mali "NG'OMBE" za familia) Vile vile hawataki nijitafutie kivyangu ×
JE NIFANYEJE WANAJUKWAA Maana nipo njia panda
JE NIFANYEJE WANAJUKWAA Maana nipo njia panda