Je ni jitihada zipi wanazofanya kuhakikisha unapata kazi mapema kadri iwezekanavyo?nitakapopata kazi naombeni ushauri
Kweli, tuanzie hapo kwanzaMleta mada, kwani wewe mwenyewe unaonaje? Uondoke au ubaki?
Tafuta kazi ukiwa hapohapo uanze kujitegemea.ukisimama imara utahamia kwako utaanza maisha yako,utaoa na mengine yatakuja.hao ni wazazi wako,wamepitia hatua hiyo yako so wanaielewa dunia na ulimwengu ulivyo kwa ujumla hasa katika utafutaji wa riziki.wasikilizeHabari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi nkafanya kazi za wasiosoma nisubiri kazi za ofisini.
Hata kama nijaribu biashara nazuiwa wanasema kila kitu nnapata kula pia sitegemewi so nitulie tu mpk nitakapopata kazi naombeni ushauri
Tafuta kazi, zenye uelekeo wa kazi uliyosomea, pia soma zaidiHabari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi nkafanya kazi za wasiosoma nisubiri kazi za ofisini.
Hata kama nijaribu biashara nazuiwa wanasema kila kitu nnapata kula pia sitegemewi so nitulie tu mpk nitakapopata kazi naombeni ushauri
Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi nkafanya kazi za wasiosoma nisubiri kazi za ofisini.
Hata kama nijaribu biashara nazuiwa wanasema kila kitu nnapata kula pia sitegemewi so nitulie tu mpk nitakapopata kazi naombeni ushauri
Acha uongo Hakuna mzazi anaongea upuuz huo Seema wew mwenyewe Ni mjinga tu ndio umeamua kulet Uzi humuHabari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi nkafanya kazi za wasiosoma nisubiri kazi za ofisini.
Hata kama nijaribu biashara nazuiwa wanasema kila kitu nnapata kula pia sitegemewi so nitulie tu mpk nitakapopata kazi naombeni ushauri
Hajui tu watu tunavyotamani hiyo nafasi aliopewa na wazaziweKama wamekuhakikishia na unaona wanapambana kukutaftia hizo kazi kweli ,relax😌
Haelewi hilo,,,Hajui tu watu tunavyotamani hiyo nafasi aliopewa na wazaziwe