Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Kama ameshasema ANATAKA AKUHARIBIE KAZI MWACHE KABISA.

Kwani akija ofisini si UNAKATAA TU KUMWONA?

Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kusikiliza uongo wake. Ukimwona, nenda kwa boss mwambie anakutongoza na WEWE HUMTAKI !! Mwambie boss unaomba aondolewe kwa nguvu
 
mshamba_hachekwi hii ulisoma au hukuisoma?
Kwako Leejay49 , vipi uko naye kimahusiano?
 
Ni vitisho tu onyesha msimamo wako

Pia usiingie kwa mahusiano ya haraka ili kumkomoa yeye

Akizidi ripoti kituo cha polisi achukuliwe hatua dhidi ya vitisho vyake
anajua udhaifu wako ndio maana amekutishia ivyo anajua unampenda sana alaf hao aliokuja nao ni washkaj zake kawasimulia kila kitu kaa nao vizuri au watafute uwaulize watakuambia ukweli. alaf wewe ni bado unampenda huyo mtu ndo maana hujui cha kufanya.usingempenda usingeuliza yan maamuz ungekuw ushayafanya kitaaambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…