Naombeni ushauri wenu: Nimezama kwenye penzi la mwanajeshi

Uliwaza mbali sana mwana malenga
Kwahyo ulifanikiwa kumtongoza
Au uliishia kuwa mpenz mtazamaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nimekushangaa sana kumuhofia mjeda, mkuu mwenyewe na kauli zake za kibabe majukwaani lakini akiwa magogoni kutumia maneno kama honey, my queen, darling na mengineyo ni ya kawaida.
 
Nimekuwa katika mahusiano na wanajeshi 13 kila mmoja kwa wakati wake na hii ilitokana na mimi kuwa na marafiki zangu wanajeshi pamoja na ujasiri wangu, tabia zao wote zinafanana na nilijifunza yafuatayo;

1. Suala la kucheat na makamanda wenzao ni la kawaida sana (hasa na vijana wenye vyeo vya juu kuanzia Luteni), yaani hawatongozwi ni kuombwa appointment tu; haijalishi ni mke wa mtu au single. Na hii ilitokana na ile dhana ya zaman kwamba Service girl/ MTM ni morali wa jeshi.

2. Ni wakali na wanajiamini sana, japo hujaribu kuonesha moyo wa huruma, upole na wenye upendo kwa mpenzi wake katika siku za mwanzo kwa kuwa bado anakusoma tabia zako.

3. Wana maamuzi yasiyo sahihi hasa wakati wa mkwaruzano hata mdogo tu (ni jambo la kawaida kwake kukutukana matusi k.v acha usenge, **** la mamako mbele ya ndugu zako).

4. Uwezo wao wa kufikiri ama kuchanganua mambo ni mdogo sana na hii huchagizwa na impact za kijeshi hali hii huweza kuathiri mpaka malezi/ makuzi ya watoto hivyo familia zao kupata malezi ya hovyo sana.

5. Wengi wametumika sana kuanzia tangu akiwa Service girl mpaka MTM hivyo wamejawa na hasira pamoja jaziba wamekata tamaa na kuolewa na huwaona wanaume wote ni sawa tu.

6. Wengi waobahatika kuolewa ndoa zao hazidumu huishia kuwa single mother tu na hii ni kutokana na baadhi ya wanaume siyo Raia tu hata wanajeshi wenzao hushindwa kuvumilia tabia zao na hili kwao huliona la kawaida sana .

NB: Kama umempenda na huwezi kuishi bila yeye tafadhali muoe, ni mimi tu kukuweka wazi!
 
Hahaha mkuu nimependa ulivyomalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo huu
 
Hii mbona kama chai vile! Jeshi la wapi hilo mtu anaweka status kavaa kombati na SMG begani?

Jeshi la Kibongo haliruhusu hata kupiga picha na kombati unless iwe ni matukio maalum, na picha za mtu binafsi kamanda akiwa na kombati hairuhusiwi kupost popote pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu uchambuzi mujarrrabu kabisa. Kutoka ktk waraka wako nimeng'amua yafuatyo

1. Hawaoleki na wanaume legelege: kimsimamo ukiamua umeamua hata akasirike vipi wewe unakomaa uamuzi wako. Wanawake wengi huonyesha kukerwa na hii tabia lakini wanawake wanawapenda sana wanaume wa aina hii.

2. Never kiss her ass. Hapa inabidi yeye ndiyo akupende zaidi ili jukumu la kulinda uhusiano liegemee upande wake.

3. Kumshape tangu mwanzo kwamba pamoja na uaskari wake kwako yeye ni mwanamke tu kama walivyo wanawake wengine kwa waume zao na wewe pamoja na uraia wako kwake wewe ni mwanaume na utaendelea kuwa hvyo kama walivyo wanaume wengine kwa wake zao

Kama kuna nlichoacha milango iwazi kuongezea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…