Naombeni ushauri wenu: Nimezama kwenye penzi la mwanajeshi

Shairi hili niliandika mwaka 2017,Tarehe mbili ya mwezi December

NAMPENDA MWANAJESHI

Mzuri anapendeza,sura ye yanivutia
nawaza kama ntaweza,ukweli kumuambia
naota anikimbiza,bunduki anashikia
Ukweli bora eleza,akili yaniambia
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza

Mtani anapopita, magwanda kajivalia
moyo wangu unasita,hata kumsogelea
mtoto kwanza sa sita,ndo kwanza imewadia
Kweli nitafurukuta,kama akinkubalia
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza.

Anayo njema heshima,maadili anajua
nawaza nseme mapema,tatizo pakuanzia
mpaka ninapata homa,kila nikifikiria
kichwa nacho kinauma,ninazidi kuumia
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza.

Anapigiwa saluti,heshima wamtolea
siwazi kumsaliti,siku nikija muoa
hata wavaao suti,bado wanamkimbia
nyororo yake sauti,pindi anapoongea
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza.

Endesha dege la jeshi,angani ajipaia
uso kama muhabeshi,Arusha twakutania
mwongeaji na mcheshi,napenda kumtania
ila shida mwanajeshi,bastola ajibebea
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza.

Amanitume rafiki,aende muelezea
naogopa unafiki ataweza kuzengea
ili niepushe chuki,labda tajikakamua
sitaki moyo wa dhiki,mapenzi kuyakimbia
nampenda mwanajeshi,naogopa mtongoza.
SHAIRI-Nampenda mwanajeshi
MTUNZI-Idd Ninga wa Tengeru Arusha
+255624010160
iddyallyninga@gmail.com
Uliwaza mbali sana mwana malenga
Kwahyo ulifanikiwa kumtongoza
Au uliishia kuwa mpenz mtazamaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nimekushangaa sana kumuhofia mjeda, mkuu mwenyewe na kauli zake za kibabe majukwaani lakini akiwa magogoni kutumia maneno kama honey, my queen, darling na mengineyo ni ya kawaida.
 
Nimekuwa katika mahusiano na wanajeshi 13 kila mmoja kwa wakati wake na hii ilitokana na mimi kuwa na marafiki zangu wanajeshi pamoja na ujasiri wangu, tabia zao wote zinafanana na nilijifunza yafuatayo;

1. Suala la kucheat na makamanda wenzao ni la kawaida sana (hasa na vijana wenye vyeo vya juu kuanzia Luteni), yaani hawatongozwi ni kuombwa appointment tu; haijalishi ni mke wa mtu au single. Na hii ilitokana na ile dhana ya zaman kwamba Service girl/ MTM ni morali wa jeshi.

2. Ni wakali na wanajiamini sana, japo hujaribu kuonesha moyo wa huruma, upole na wenye upendo kwa mpenzi wake katika siku za mwanzo kwa kuwa bado anakusoma tabia zako.

3. Wana maamuzi yasiyo sahihi hasa wakati wa mkwaruzano hata mdogo tu (ni jambo la kawaida kwake kukutukana matusi k.v acha usenge, **** la mamako mbele ya ndugu zako).

4. Uwezo wao wa kufikiri ama kuchanganua mambo ni mdogo sana na hii huchagizwa na impact za kijeshi hali hii huweza kuathiri mpaka malezi/ makuzi ya watoto hivyo familia zao kupata malezi ya hovyo sana.

5. Wengi wametumika sana kuanzia tangu akiwa Service girl mpaka MTM hivyo wamejawa na hasira pamoja jaziba wamekata tamaa na kuolewa na huwaona wanaume wote ni sawa tu.

6. Wengi waobahatika kuolewa ndoa zao hazidumu huishia kuwa single mother tu na hii ni kutokana na baadhi ya wanaume siyo Raia tu hata wanajeshi wenzao hushindwa kuvumilia tabia zao na hili kwao huliona la kawaida sana .

NB: Kama umempenda na huwezi kuishi bila yeye tafadhali muoe, ni mimi tu kukuweka wazi!
 
Nimekuwa katika mahusiano na wanajeshi 13 kila mmoja kwa wakati wake na hii ilitokana na mimi kuwa na marafiki zangu wanajeshi pamoja na ujasiri wangu, tabia zao wote zinafanana na nilijifunza yafuatayo;

1. Suala la kucheat na makamanda wenzao ni la kawaida sana ( hasa na vijana wenye vyeo vya juu kuanzia Luten), yaani hawatongozwi ni kuombwa appointment tu haijalishi ni mke wa mtu au single. Na hii ilitokana na ile dhana ya zaman kwamba Service girl/MTM ni morali wa jeshi.

2.Ni wakali na wanajiamini sana, japo hujaribu kuonesha moyo wa huruma, upole na wenye upendo kwa mpenzi wake katika siku za mwanzo kwa kuwa bado anakusoma tabia zako.

3. Wana maamuzi yasiyo sahihi hasa wakati wa mkwaruzano hata mdogo tu ( ni jambo la kawaida kwake kukutukana matusi k.v acha usenge, **** la mamako mbele ya ndugu zako).

4. Uwezo wao wa kufikiri ama kuchanganua mambo ni mdogo sana na hii huchagizwa na impact za kijeshi hali hii huweza kuathiri mpaka malezi/ makuzi ya watoto hivyo familia zao kupata malezi ya hovyo sana.

5. Wengi wametumika sana kuanzia tangu akiwa Service girl mpaka Mtm hivyo wamejawa na hasira pamoja jaziba wamekata tamaa na kuolewa na huwaona wanaume wote ni sawa tu.

6. Wengi waobahatika kuolewa ndoa zao hazidumu huishia kuwa single mother tu na hii ni kutokana na baadhi ya wanaume siyo Raia tu hata wanajeshi wenzao hushindwa kuvumilia tabia zao na hili kwao huliona la kawaida sana .

NB; kama umempenda na huwezi kuishi bila yeye tafadhali muoe, Ni mimi tu kukuweka wazi!
Hahaha mkuu nimependa ulivyomalizia

Uongo huu
 
Hii mbona kama chai vile! Jeshi la wapi hilo mtu anaweka status kavaa kombati na SMG begani?

Jeshi la Kibongo haliruhusu hata kupiga picha na kombati unless iwe ni matukio maalum, na picha za mtu binafsi kamanda akiwa na kombati hairuhusiwi kupost popote pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa katika mahusiano na wanajeshi 13 kila mmoja kwa wakati wake na hii ilitokana na mimi kuwa na marafiki zangu wanajeshi pamoja na ujasiri wangu, tabia zao wote zinafanana na nilijifunza yafuatayo;

1. Suala la kucheat na makamanda wenzao ni la kawaida sana ( hasa na vijana wenye vyeo vya juu kuanzia Luten), yaani hawatongozwi ni kuombwa appointment tu haijalishi ni mke wa mtu au single. Na hii ilitokana na ile dhana ya zaman kwamba Service girl/MTM ni morali wa jeshi.

2.Ni wakali na wanajiamini sana, japo hujaribu kuonesha moyo wa huruma, upole na wenye upendo kwa mpenzi wake katika siku za mwanzo kwa kuwa bado anakusoma tabia zako.

3. Wana maamuzi yasiyo sahihi hasa wakati wa mkwaruzano hata mdogo tu ( ni jambo la kawaida kwake kukutukana matusi k.v acha usenge, **** la mamako mbele ya ndugu zako).

4. Uwezo wao wa kufikiri ama kuchanganua mambo ni mdogo sana na hii huchagizwa na impact za kijeshi hali hii huweza kuathiri mpaka malezi/ makuzi ya watoto hivyo familia zao kupata malezi ya hovyo sana.

5. Wengi wametumika sana kuanzia tangu akiwa Service girl mpaka Mtm hivyo wamejawa na hasira pamoja jaziba wamekata tamaa na kuolewa na huwaona wanaume wote ni sawa tu.

6. Wengi waobahatika kuolewa ndoa zao hazidumu huishia kuwa single mother tu na hii ni kutokana na baadhi ya wanaume siyo Raia tu hata wanajeshi wenzao hushindwa kuvumilia tabia zao na hili kwao huliona la kawaida sana .

NB; kama umempenda na huwezi kuishi bila yeye tafadhali muoe, Ni mimi tu kukuweka wazi!

Huu uchambuzi mujarrrabu kabisa. Kutoka ktk waraka wako nimeng'amua yafuatyo

1. Hawaoleki na wanaume legelege: kimsimamo ukiamua umeamua hata akasirike vipi wewe unakomaa uamuzi wako. Wanawake wengi huonyesha kukerwa na hii tabia lakini wanawake wanawapenda sana wanaume wa aina hii.

2. Never kiss her ass. Hapa inabidi yeye ndiyo akupende zaidi ili jukumu la kulinda uhusiano liegemee upande wake.

3. Kumshape tangu mwanzo kwamba pamoja na uaskari wake kwako yeye ni mwanamke tu kama walivyo wanawake wengine kwa waume zao na wewe pamoja na uraia wako kwake wewe ni mwanaume na utaendelea kuwa hvyo kama walivyo wanaume wengine kwa wake zao

Kama kuna nlichoacha milango iwazi kuongezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom