Koffi Annan ni mwanadiplomasia nguli. Hizi kauli ngumu sana. Ni kama ambavyo waliooa madaktari na manesi wanavyoagwa kwenda night calls, walimu wanavyoenda semina na wafanyabiashara wanavyoenda kuchukua mizigo.Wakati akiwa anaenda guard usiku usije hapa kulalamika
Aaaah salaaale kama kitandan sawa hata gusmatch sawa tu ila out of bed kila mtu na mwendo wake.
Itifaki itazingatiwa ndio maana nkaomba ushauri kwa timamu wenzangu hukuUkimuacha huyu mjeda atatuchukia sana sisi wanaume hebu ikitokea umemuacha muache kwa sabab za kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh vinginevyo utajikuta moyo unazama aiseeMkuu umemshauri jamaa vizuri sana, kikubwa kama kampenda kiukweli asiogope changamoto hizi..jeshini wanasema "KUNYWA MAJI MENGI MOYO UELEE" huu msemo una maana kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii mbona kama chai vile!
jeshi la wapi hilo mtu anaweka status kavaa kombati na SMG begani??
jeshi la kibongo haliruhusu hata kupiga picha na kombati unless iwe ni matukio maalum na picha za mtu binafsi kamanda akiwa na kombat hairuhusiwi kupost popote pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah kujua hizo sheria za jeshin zikoje lkn kuna washkaji wanaweka hadi profile picture zao kwenye social networks...Kiuhalisia ulichosema ni sahihi, ni marufuku kupiga picha na kombati labda kuwe na jambo muhimu,ila usisahau watu wanavunja sana sheria wapo wanaopost mpaka fb na hii iko kipindi hiki cha mitandao kuwa mingi na watu kukosa uweledi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hata awe brigedia, jenerali au Marshal, anaweza kuzama kwenye dimbwi la mapenzi na akawa mlaini kama konokono.
Uanajeshi ni huko kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Decent ni 5/5 bado naona mzeeMkuu huyo ndio mkeo sasa!! mimi Kilwa94 nikiwa kama mzoefu, nakwambia huyo mjeshi weka ndani kwa maelezo yako ulivyoeleza ni dhahiri kuwa huyo ni wife material.
Kama haupo serious kuchukua jiko niuzie mazero saba yake(namba)[emoji23][emoji3]
5/5
Kwa vyovyote itakavyokuwa ntarejea tena kutoa feedback iwe +ve au -veUsitunyime tu mrejesho..as you go on.
Wanaitumia sana kwenye majeshi[emoji23]
ππππKwa vyovyote itakavyokuwa ntarejea tena kutoa feedback iwe +ve au -ve
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake ni nini huko jeshini Mzee, maana Mimi najua inatumika hospitali kwa mama anaekaribia kujifunguaWanaitumia sana kwenye majeshi[emoji23]
5/5
Mkuu umenifurahisha sana kwa mbinu ulizoelezea hapa, safi sana. Ila naomba nikueleze tu sina nia mbaya bali tunajaribu kusaidiana ili tujenge familia zilizo bora.Huu uchambuzi mujarrrabu kabisa. Kutoka ktk waraka wako nimeng'amua yafuatyo
1. Hawaoleki na wanaume legelege: kimsimamo ukiamua umeamua hata akasirike vp ww unakomaa uamuzi wako. Wanawake wengi huonyesha kukerwa na hii tabia lkn wanawake wanawapenda sana wanaume wa aina hii.
2. Never kiss her ass. Hapa inabid yy ndio akupende zaidi ili jukumu la kulinda uhusiano liegemee upande wake.
3. Kumshape tangu mwanzo kwamba pamoja na uaskari wake kwako yeye ni mwanamke tu kama walivyo wanawake wengine kwa waume zao na wewe pamoja na uraia wako kwake wewe ni mwanaume na utaendelea kuwa hvyo kama walivyo wanaume wengine kwa wake zao
Kama kuna nlichoacha milango iwazi kuongezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko jeshini nasikia inamaanisha kueleweka(kusomeka kwa jambo fulani)Maana yake ni nini huko jeshini Mzee, maana Mimi najua inatumika hospitali kwa mama anaekaribia kujifungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Oky, hospitali maana yake mtoto bado hajashuka wakati wa uchungu kwa mama anaejifunguaHuko jeshini nasikia inamaanisha kueleweka(kusomeka kwa jambo fulani)
5/5
Nimeishi na kukulia kota, Mshua mwanajeshi, masister wamerithi, nimesoma shule ya jeshi.Hujawahi kuwa karibu na wanajeshi ndio maana unaona uongo! Yeyote alikuwa karibu na wanajeshi au aliyepita jeshini au wao wenyewe wanajua kama kweli au sio kweli kwa aliyonena Mkuu hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app