Naombeni ushauri wenu: Nimezama kwenye penzi la mwanajeshi

Naombeni ushauri wenu: Nimezama kwenye penzi la mwanajeshi

Wakati akiwa anaenda guard usiku usije hapa kulalamika
Koffi Annan ni mwanadiplomasia nguli. Hizi kauli ngumu sana. Ni kama ambavyo waliooa madaktari na manesi wanavyoagwa kwenda night calls, walimu wanavyoenda semina na wafanyabiashara wanavyoenda kuchukua mizigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata awe brigedia, jenerali au Marshal, anaweza kuzama kwenye dimbwi la mapenzi na akawa mlaini kama konokono.

Uanajeshi ni huko kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mbona kama chai vile!
jeshi la wapi hilo mtu anaweka status kavaa kombati na SMG begani??

jeshi la kibongo haliruhusu hata kupiga picha na kombati unless iwe ni matukio maalum na picha za mtu binafsi kamanda akiwa na kombat hairuhusiwi kupost popote pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia ulichosema ni sahihi, ni marufuku kupiga picha na kombati labda kuwe na jambo muhimu,ila usisahau watu wanavunja sana sheria wapo wanaopost mpaka fb na hii iko kipindi hiki cha mitandao kuwa mingi na watu kukosa uweledi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah kujua hizo sheria za jeshin zikoje lkn kuna washkaji wanaweka hadi profile picture zao kwenye social networks...
Anyway Nisiende mbali zaid lengo langu lilikua kufikisha ujumbe kwa hadhira yangu ni kwa namna gan nmefikia hapo nlipofika hadi nkaomba ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uchambuzi mujarrrabu kabisa. Kutoka ktk waraka wako nimeng'amua yafuatyo

1. Hawaoleki na wanaume legelege: kimsimamo ukiamua umeamua hata akasirike vp ww unakomaa uamuzi wako. Wanawake wengi huonyesha kukerwa na hii tabia lkn wanawake wanawapenda sana wanaume wa aina hii.

2. Never kiss her ass. Hapa inabid yy ndio akupende zaidi ili jukumu la kulinda uhusiano liegemee upande wake.

3. Kumshape tangu mwanzo kwamba pamoja na uaskari wake kwako yeye ni mwanamke tu kama walivyo wanawake wengine kwa waume zao na wewe pamoja na uraia wako kwake wewe ni mwanaume na utaendelea kuwa hvyo kama walivyo wanaume wengine kwa wake zao

Kama kuna nlichoacha milango iwazi kuongezea


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenifurahisha sana kwa mbinu ulizoelezea hapa, safi sana. Ila naomba nikueleze tu sina nia mbaya bali tunajaribu kusaidiana ili tujenge familia zilizo bora.

Hawa watu siyo rahisi kama ulivyoeleza kwenye point yako namba moja, ukishaingia humo sidhan kama utabaki na msimamo unausemea hapa.

Pili, hawa watu kile kitendo cha kudhani kuwa wanaweza kuishi bila uwepo wa mwanaume kiuchumi, suala la yeye kukupenda huwa ni la muda tu baadaye tabia zao hudhihirika hudhani kuwa walikuwa walikuwa wanajipendekeza sana jambo hili huwa hawalipendi. Na hulisema wazi.

Tatu, wanajeshi (MTM) hawaolewi Bali wanaoa na kama ni wao kwa wao ( MT v/s MTM) wanaoana, hivyo Ondoa dhana ya kumshape kwan keshakuwa shaped muda na jeshi kitabia na kama wee ni jeuri wao ni jeuri zaidi yako ni suala la muda tu utamjua yeye ni nani.

Hapa nieleweke kwamba suala la ndoa, nani atamuoa/ kuolewa na nani ni suala binafsi.
 
Hujawahi kuwa karibu na wanajeshi ndio maana unaona uongo! Yeyote alikuwa karibu na wanajeshi au aliyepita jeshini au wao wenyewe wanajua kama kweli au sio kweli kwa aliyonena Mkuu hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishi na kukulia kota, Mshua mwanajeshi, masister wamerithi, nimesoma shule ya jeshi.

No time for argument
 
Back
Top Bottom