diaspora-mtarajiwa
Member
- Sep 26, 2014
- 12
- 1
*Habari zenu wana Jf
*mimi ni kijana mdogo kabisa mwenye elimu ya form 4b ninaeishi Daressalaam..
*Nina mtaji wa milioni mbili ila nimeshindwa kupata Idea yoyote ya business ambayo itanilipa vizuri na kuendelea kuniweka mjini.
*Humu ndani najua kuna watu wana nia ya kusaidia,hivyo naombeni ushauri wenu kabla wazee wa boxer hawajanikwapua....!!