naombeni ushauri wenu wapendwa!

kokusiima

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
11
Reaction score
3
hivi ukweli ni upi? ni lazima mwanamke akiwa kitandani na mwenzi wake kutikisika(kukata mauno?) au si lazima? naombeni wanaJF minjuze make sielewi
 
sio lazima.....sio kila mwanaume anapend mauno....

sometimes unakutana na mdada...mpaka unamwambia.....taratibu aisee....lol

mauno mpaka kwenye dari....lol
 
but jibu sahihi ni je huyo mtu wako anapenda mauno au hapendi????
 
hivi ukweli ni upi? ni lazima mwanamke akiwa kitandani na mwenzi wake kutikisika(kukata mauno?) au si lazima? naombeni wanaJF minjuze make sielewi

ole wako usikatike nakutandika makofi!
 
Duh, Mkuu ndio maana kuna chuo cha mafunzo ili kuleta hamasa ktk majambozi. Sio lazima kuwa na mauno ila kunaongeza hali mpaka unakuta mtu anafunga 6-6 kwa muda mfupi tu.
 
duh!!!!!! asante kakangu ss kama hujui c kibuti tayari?
 
Kuna mauno mengine dah kama injini za FORMULA ONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…