naombeni ushauri wenu wapendwa!

naombeni ushauri wenu wapendwa!

sasa huyu kokussima mbona hajibu....?????lol

tunatafuta wanafunzi kama yeye lol
 
Kokusiima mpenzi......

Asikudanganye mtu.......... mwanamke mauno.

Tunapozungumzia mauno hatumaanishi kuyakata kama feni bali ushirikiano stahiki.

Napatikana Tegeta, niPM kwa ajili ya mafunzo zaidi. Huwa nafundisha kwa nadharia na vitendo
 
Huyu mwanafunzi bana sijui ameenda kutafuta nondozz kwanza

Nadhani anatafakari aendelee na huu uzi au aingie mitini 🙂🙂 maana maswali mengine naona yamekuwa magumu kwake kuyajibu 🙂🙂
 
yaani nisije nikaanza kukata mauno jf bure. Ngoja nitoke.

Hahahahahah lol! unacharge kiasi gani kuangalia ukataji wa mauno ya Husninyo? hahahahahah lol!
 
Hahahahahah lol! unacharge kiasi gani kuangalia ukataji wa mauno ya Husninyo? hahahahahah lol!

hahaha! Sijui niwape ofa. Au nikusanyie jelo jelo kama loliondo.
 
sio lazima.....sio kila mwanaume anapend mauno....

sometimes unakutana na mdada...mpaka unamwambia.....taratibu aisee....lol

mauno mpaka kwenye dari....lol
ahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mi hoi
 
Kokusiima mpenzi......

Asikudanganye mtu.......... mwanamke mauno.

Tunapozungumzia mauno hatumaanishi kuyakata kama feni bali ushirikiano stahiki.

Napatikana Tegeta, niPM kwa ajili ya mafunzo zaidi. Huwa nafundisha kwa nadharia na vitendo
hapo umenena .............vingine majaliwa tu
 
Back
Top Bottom