Nimepatwa na vipere(sundosundo) katika sehemu za siri kwenye ringi ya uume.Ni miaka 4 sasa nimetumia baadhi ya dawa za kuchua sioni mafanikio ya vipere hivyo kutoweka.Nifanye je?
miaka 4 ni mingi sana, labda tuanze hapa vinawasha ama kuuma?? je vinatoa majimaji?
je uume umebadilika rangi na kuwa mwekundu ama wa kama green blue??