Naombeni Ushauri Wenu Wapendwa

Naombeni Ushauri Wenu Wapendwa

Mr General

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Nimepatwa na vipere(sundosundo) katika sehemu za siri kwenye ringi ya uume.Ni miaka 4 sasa nimetumia baadhi ya dawa za kuchua sioni mafanikio ya vipere hivyo kutoweka.Nifanye je?
 
uliwahi kwenda hosp?? usafi wa mwil ni muhimu mmhhh miaka minne ni mingi sana pole sana waone madaktar
 
miaka 4 ni mingi sana, labda tuanze hapa vinawasha ama kuuma?? je vinatoa majimaji?
je uume umebadilika rangi na kuwa mwekundu ama wa kama green blue??

je unapata homa kutokana na tatizo ilo
 
Back
Top Bottom