Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
🙄! Kwa hiyo siwezi kuja kuishi huku kama mie nimeamua kuwa raia wa nchi nyingine??Hakuna uraia pacha ukishakubali uraia wa nchi nyingine na ukatambulika huko kama raia wao then uTanzania unaupoteza automatic
Kuishi unaweza kabisa ila kama mgeni na sio raia.🙄! Kwa hiyo siwezi kuja kuishi huku kama mie nimeamua kuwa raia wa nchi nyingine??
NakaziaHakuna uraia pacha ukishakubali uraia wa nchi nyingine na ukatambulika huko kama raia wao then uTanzania unaupoteza automatic
Mmh! Je mf. Nikaukataa raia ya ugenini nikawa nakuja tu kusalimia huko huku sinaweza kukaa kama raia tz maana bado sijaukana?Kuishi unaweza kabisa ila kama mgeni na sio raia.
Utakaa Kama Unavyoona Wageni WanakujaMmh! Je mf. Nikaukataa raia ya ugenini nikawa nakuja tu kusalimia huko huku sinaweza kukaa kama raia tz maana bado sijaukana?
Passport unayotumia inaonyesha wewe ni raia wa nchi gan!?? Tuanzie hapaMmh! Je mf. Nikaukataa raia ya ugenini nikawa nakuja tu kusalimia huko huku sinaweza kukaa kama raia tz maana bado sijaukana?
Nafikiri unachanganya mambo. Kuishi unaweza kuishi lakini sio kama mtanzania tena, utaishi kama mgeni kwakuwa kwa Sheria ilivyo mpaka sasa ni ~ ukiukubali uraia wa nchi nyingine automatically unakuwa umeukana utanzania.[emoji849]! Kwa hiyo siwezi kuja kuishi huku kama mie nimeamua kuwa raia wa nchi nyingine??