Barnaba Fumbo
Member
- Nov 17, 2023
- 15
- 27
Asome course ambayo atatoa huduma Kwa jamii yaani 'service'Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.
1. Bachelor of Computer science
2. Bachelor of Chemistry
3. Bachelor of Logistics and Transport
4. Bachelor of Physiotherapy
Je ni ipi course nzuri kati ya hizo?
Natanguliza Shukrani kwenu wana JF NAOMBENI ushirikiano
Akitoka hapo anaenda NIT anajifunza kusukuma Truck anakua dereva lori kwenda CongoLogistics and Transport iko poa Sana Miami ndo naisomea
Shida afya wanachukua ufaulu mkubwa sana div one ya 3-5 na yeye hakupata huo ufaulu ni div one ya kawaida tuAsome course ambayo atatoa huduma Kwa jamii yaani 'service'
Afya
Ualimu
Kilimo
Aisee kwa sasa hivi huna connection kasome vitu ambavyo ukimaliza unaweza kujiajiri kilimo,phamarcy na mifugo zimekaa vizur zaidiKuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.
1. Bachelor of Computer science
2. Bachelor of Chemistry
3. Bachelor of Logistics and Transport
4. Bachelor of Physiotherapy
Je ni ipi course nzuri kati ya hizo?
Natanguliza Shukrani kwenu wana JF NAOMBENI ushirikiano
1Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.
1. Bachelor of Computer science
2. Bachelor of Chemistry
3. Bachelor of Logistics and Transport
4. Bachelor of Physiotherapy
Je ni ipi course nzuri kati ya hizo?
Natanguliza Shukrani kwenu wana JF NAOMBENI ushirikiano
Yeah! hii imekaa vizuriAisee kwa sasa hivi huna connection kasome vitu ambavyo ukimaliza unaweza kujiajiri kilimo,phamarcy na mifugo zimekaa vizur zaidi
Pia kuna course ya mambo ya radiology naona ni ngeni ila ajira sijui kama zinapatikana
Shida afya wanachukua ufaulu mkubwa sana div one ya 3-5 na yeye hakupata huo ufaulu ni div one ya kawaida tu
Ada ndio tatizo kaka. Ada 4M+ na kama unavyojua siku hizi % za mikopo ni ndogo sanaC
Kwani vyuo private alikosa pia
Nursing and Lab somrhow hazina Cut off point kubwa na wengi huziweka kama third and fourth optionsShida afya wanachukua ufaulu mkubwa sana div one ya 3-5 na yeye hakupata huo ufaulu ni div one ya kawaida tu