naombeni msaada wenu jamani.
nime aply vyuo viwili, MIpango, na EDUCATION, lakini mipango nimepata nakuhusu ualimu bado hawajatoa post hadi sasa, nafikiria sana kuhusu hili naweza nikasubri hadi postzitoke then nisipate kwa upande mwengine nikawa nimesha chelewa mipango kwasabu wamesha fungua na mwisho wa kulipoti ni tarehe 04./08. nime maliza frm 4 of dvs4ya 26.