naombeni ushauri wenu

naombeni ushauri wenu

mti mrefu

New Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
3
Reaction score
0
naombeni msaada wenu jamani.
nime aply vyuo viwili, MIpango, na EDUCATION, lakini mipango nimepata nakuhusu ualimu bado hawajatoa post hadi sasa, nafikiria sana kuhusu hili naweza nikasubri hadi postzitoke then nisipate kwa upande mwengine nikawa nimesha chelewa mipango kwasabu wamesha fungua na mwisho wa kulipoti ni tarehe 04./08. nime maliza frm 4 of dvs4ya 26.
 
Kwa ushauri wangu, inategemea na kipi hasa ambacho moyoni mwako unakipenda na umedhamiria kukifanya. Unaweza kwenda mipango lakini kumbe unapenda kusomea ualimu. So take ur time kabla hujafnya uamuzi
 
nenda mipango karipoti then ualimu matokeo yakitoka na kama umepata unaenda ualimu unaachana na mipango! Xo inategemea na unachopenda coz hapo hamna tatizo! Ila kutokana na uzi wako unaonekana unapenda ualimuuu!! kwel c kwel?
 
Back
Top Bottom