sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkop
sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkopo kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.
o kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.
Hapana npo chuo tayari ila naomba ushauri mana nimepata hio nafasi nafikiria sometimes kuacha masomo ya ualimusasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkopo kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.
nipo chuo nasoma ualimu wa hesabu sasa nimepata hii nafasi ya maabara ndo naomba ushauri wenu wapendwaje hapo awali ulichagua combination gani
hesabu and ITNapenda kuuliza unasoma uwalima wa sayansi au art?????
asante nduguAcha leo leo, nenda kasome hyo diploma ya Maabara. Sekta ya Elimu cyo kabisa hapa nchini, Magumashi ni mengi nenda usije jutia
ushauri mzuri sana huu..Je hiyo nafasi uliitafuta kwa dhati?
Ikiwa kama uliitafuta kwa dhati, nenda bila kusita. Ikiwa kama umetafutiwa na 'shangazi', tafakari kwa kina.
nimefight mwenyewe mkuu.ushauri mzuri sana huu..
kama ni hivo safi...go makes your dreams true!nimefight mwenyewe mkuu.