Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

viva666

Senior Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
111
Reaction score
117
Hi kwa wana JF wote:
Nachukua nafasi hii kwa dhati kuwaandikia vijana wenzangu na walionizidi umri nikitaka ushauri kutoka kwenu. Mimi nimesoma mpaka form six na kubahatika kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa tanzania katika kozi ya UALIMU na kwa sasa nipo mwaka wa 2.
Kwa sasa Nimepata nafasi ya kusoma diploma ya maabara katika chuo kimojawapo hapa tanzania muda wa miaka 3.

Naombeni ushauri nifanyaje
 
sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkopo kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.
 
sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkop
sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkopo kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.

o kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.

sasa dogo unaomba ushauri au ume panic tulia kwani umepata mkopo kote au na angalia moyo wako unapenda nini na kama ulichukua masomo ya sayansi haina shida mwenyewe nakushauri tu uende.
Hapana npo chuo tayari ila naomba ushauri mana nimepata hio nafasi nafikiria sometimes kuacha masomo ya ualimu
 
Acha leo leo, nenda kasome hyo diploma ya Maabara. Sekta ya Elimu cyo kabisa hapa nchini, Magumashi ni mengi nenda usije jutia
 
Napenda kuuliza unasoma uwalima wa sayansi au art?????
 
Angalia moyo wako unapenda nini maana yote hayo ni wito zaidi ya kipato mkuu.
 
Je hiyo nafasi uliitafuta kwa dhati?
Ikiwa kama uliitafuta kwa dhati, nenda bila kusita. Ikiwa kama umetafutiwa na 'shangazi', tafakari kwa kina.
 
mkuu mm ni kama ww tu, nilipangiwa ualimu nikaacha nikaenda kusoma diploma hiyo hiyo ya maabara so nakushauri nenda na hutajutia, usiwaze mara mbili golden chance never come twice! kila la heri mkuu
 
andika barua ya kuahirisha masomo,elezea sababu yoyote ya uhairishaji huo kama vile kuuguza n.k,nenda kaanze huko afya,ukiona pako fresh endelea na kozi hyo ya afya,afya kibongobongo ndio kozi zinazolipa mkuu,nenda tu,ila usiache kienyeji huo ualimu,fuata taratibu
 
Back
Top Bottom