. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao
hadi nimepoteza uaminifu kwake.
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao <br>
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa and i stiil love him coz tuliachana kwa kupotezana katika <br>
kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?
khaaaaaaaaaaaaaaaa sasa kumbe sababu sio kwa kuwa huyo jamaa yako anakucheat bali we unatafuta sababu ya kurudiana na x wako?nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao <br>
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa* and i stiil love* him coz tuliachana kwa kupotezana katika <br>
kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?
Dada sidhani kama ulikuwa na haja ya kuja kuomba ushauri wa kuachana na jamaa kama ulishakosa imani nae kutokana na uamnifu.. ilibidi uwe umeshaachana nae kitambo...
Ushauri mkubwa ni kuwa jaribu kufanya kila kitu ili kumsadia makuzi ya mtoto.. Umeshaongea na huyo jamaa mpya kama yuko tayari kukupenda wewe na mtoto? umeshaomba msaada kutoka kwa wataalamu wa sheria kuhusu matunzo na haki za kisheria za kutunza mtoto?
Issue ni matunzo ya mtoto ambaye hana hatia.. na siyo maisha yenu nyie watu wazima..maisha popote, wakati wowote na mtu yeyote..Secure life ya mtoto first!
Unaona maovu ya huyo baba mtoto kwa kuwa unaishi nae? Are you sure kwamba huyo ex hadanganyi? Are you sure kuwa huyo ex atakuoa kweli? Fimbo ya mbali haiui nyoka, ushikwapo shikamana, bora moja shika kuliko kumi nenda uje, Zimwi likujualo halikuli likakwisha, ukipata kipya usitupe cha zamani, mla mla leo mla jana kala nini... ni baadhi tu ya misemo ambayo inakutahadharisha kabla hujachukua uamuzi wa kumuacha uliye nae kwa sasa, ukaenda kwa 'rehani'... Kama kuna sehemu unaweza kwenda kukaa (kwa wazazi au ndugu au rafiki), kwa ujanja wote wa kike muage huyo uliye nae kwa sasa kama unaenda kusalimia, kaa mbali nae kwa japo mwezi mmoja, then jaribu kuusikiliza moyo wako, na pata muda huru zaidi wa kumsoma tena huyo ex. Najua kwa sasa mnakutana kwa siri na huyo ex- lakini inawezekana na wivu tu unamsababisha akuhadae uachane na uliye nae, lakini pengine ukishaachana nae, atakutosa au naye ataanza vituko. So, jaribu kuondoka (kwa amani) kwa huyo uliye nae, wakati huo huo mdanganye huyo wa zamani kuwa ndo ushaachana na huyo baba mtoto, then msome kama atakuwa responsible na kuendelea na nia yake ya ndoa, lakini pia tumia huo mda kusoma tabia zake...