Naombeni ushauri

Kwa kweli ni mda kama five months but in email and phone only.

Duh!
India kuna ndoa ilifungwa katika mawasiliano ya simu. Mume alienda kukutana na mkewe kwa mara kwa kwanza baadae (weeks after the wedding). Usiniambie hata yako ilifanana hivyo.

Muda gani toka mmekutana hadi siku ya ndoa?

.
 
It could he has another woman! well but I have tried to talk to him very politely about it, but his response is he is tired with work that is his answer. The first three months it was so good he used to do it like almost everyday. Then suddenly things changed and he is like doing it once per week, when he does it he does not certify me. When doing sex but this is from the begining he cannot go rounds it is only once. I had also asked him if I have done anything wrong to him he just say nothing. Am real confused.
 
Duh!
India kuna ndoa ilifungwa katika mawasiliano ya simu. Mume alienda kukutana na mkewe kwa mara kwa kwanza baadae, baada ya ndoa. Usiniambie hata yako ilifanana hivyo.

Muda gani toka mmekutana hadi siku ya ndoa?

.

It was like one week.
 
Pole sana vumilia ongea nae!hata bible inasema msinyimane ilhali mmekubaliana kuwa mke na mme!ila labda kweli anachoka!ila bora utleast unapata once per week!anakupenda bwana usikate tamaa labda kama unapenda iwe kila siku!
 
I salute you men! Nimewahi kumweleza mtu maneno hayo. Nimeshtuka kidogo maana ilikuwa kama nasoma kitu kilichoko kwenye memory yangu. 🙂

.
 
Thank you very much, that is what i was thinking of too. I will give him more time. For real i do love him. Coz thru his talks and other people about his ex-wife match. May be ningepata some clue of what to ask ilinisije bugi steps kwenye maswali.
 
Unadhani anajisikia vibaya kwamba ameshindwa kukutosheleza (japo kidogo), au anaonyesha kutojali?

.
 
Unadhani anajisikia vibaya kwamba ameshindwa kukutosheleza (japo kidogo), au anaonyesha kutojali?

.

Kwa kweli anaonyesha kutojali. Maana nilimpa hata wazo ajaribu kutumia natural meds from africa but hakujibu kitu alinyamaza kimya tuu. After two weeks I reminded him again about the meds, he just answered me Western food is also the cause too for him not being sexually active.
 
Pole sana vumilia ongea nae!hata bible inasema msinyimane ilhali mmekubaliana kuwa mke na mme!ila labda kweli anachoka!ila bora utleast unapata once per week!anakupenda bwana usikate tamaa labda kama unapenda iwe kila siku!

Thanks for your incouragment. Tatizo sio kwamba hawezi anaweza vizuri sana ila visababu vya hapa na pale vyakunikatisha tamaa ndo vinanisumbua na kunipa mawazo sana. Maana ukiimpa mawazo ya kutatua tatizo naambiwa nataka kufanywa 24hrs! sasa hayo nimajibu yakumpa mwenzi wako kama sio kumchoka! Na hiyo once per week nikwamba mara nyingi naachwa hewani! Pengine munipe njia nyingine za kuongea naye maana nimebakia kukaa kimya tuu sasa na hamu zangu. I realy want to solve my problem.
 
Kaa naye chini umwambie mambo yote ambayo huridhiki nayo katika ndoa yenu pamoja na hilo la kutokuwa romantic na pia kutokuwa na muda wa kufanya mapenzi nawe. Kama huridhiki na maelezo yake basi jaribu pia kumuhusisha huyo aliyewaunganisha, vinginevyo usipoteze muda wako katika ndoa ambayo haina mapenzi yoyote. Kama miezi minne wakati ambapo maluvluv yanakuwa bado moto moto ameshaanza kuingia mitini basi si muda mrefu ataanza kulala nje.
 
And may be to have some advice also in these; Before marriage he told me he has a share in a company with his friend when i came in I discovered it was all lies(kamba). He promised so many things but he has never full filled (Going out for dinner, cinema, doing me my birthday etc)any of them. When I ask him he is like "will go". So am just patiently waiting for the day! During any conversation with me anakuwa amenuna kweli but he receive a call from his friends he smiles alot. Therefore I discovered it is like am holding him home while he was like to be somewhere with his friends. May I have some ideas in this too.
 
Thanks naima, how and what should I do in terms of vitendo, may be I might not be aware of some! Na sasa if i tell my uncle haita leta ugomvi zaidi! The problems comes am overseas and the uncle is in africa.

Huyu bwana maybe yale mambo alofanyiwa na mke wake has come back to haunt him .. maana kuna wengine wanayaweka moyoni ... and maybe he just rushed into a relationship with you just to find an immediate replacement for his loss (sorry this is reality) akadhani kwamba anakupenda kumbe la ... you were sincere and i believe you love him

i guess hapa you have to go an extra mile ... ila you have to be really patient ... honest tena he mustnt have a reason to mistrust you maana i swear hapa anakuacha bila hiana... mchunguze ujue his type likes and dislikes then you work on the likes ... ni utumwa lakini kama its the only way to save your marriage kubali ... especially talk to him ... try to even become funny ... crack jokes kwa wingi ... play around the house with him ... u a never old to do that ... try kuwa mbunifu
 
Ukiangalia yaliyopo hapa, yawezekana akawa anapata psychological torture, hivyo kila anapokuwa na wewe anakumbuka promise zake kwako na zinamuondolewa mawazo juu yako, hatimaye kupoteza hisia awapo na wewe. Kikubwa ni wewe kujaribu kuishi naye kama mtu anayetaka kujifunza toka kwake na asiye kuwa na taarifa/marking scheme yeyote juu ya maisha yake. Hili linaweza mfanya awe karibu kwako na wewe akachukua nafasi hiyo kujifunza kwake na kupenyeza hisia zako.
 
pole sana ndugu yangu mpendwa kwa hiyo ndoa yako ya muda mchache na matatizo hayo piga magoti kwa Mungu wako ili uiombee familiya yako.
 
Hukuchunguza sana, labda ndio maana mwenzako alieachika alikuwa anapiga misele nje.
 
Hukuchunguza sana, labda ndio maana mwenzako alieachika alikuwa anapiga misele nje.

I just didn't want to spell it out.

Penny I hope you're not younger than 25. (Ili kukidhi ile formula yetu ya "Half his age plus 7")

.
 
And may be to have some advice also in these; Before marriage he told me he has a share in a company with his friend when i came in I discovered it was all lies(kamba). He promised so many things but he has never full filled (Going out for dinner, cinema, doing me my birthday etc)any of them. When I ask him he is like "will go". So am just patiently waiting for the day! During any conversation with me anakuwa amenuna kweli but he receive a call from his friends he smiles alot. Therefore I discovered it is like am holding him home while he was like to be somewhere with his friends. May I have some ideas in this too.

May be its due to the fact that he has failed to fulfill his promisses and that it why he is filling infilier. By the way, what is the difference between your level of education? Amekuzidi elimu au umemzidi? Katika swala la sex, jaribu kumdadisi, may be anataka uweke KACHUMBARI (shanga).

hata hivyo nakushauri jitahidi kumuomba mungu ataweza kumbadilisha, na kwa kuanzia nakupa hii sala fupi, jitahidi kuisali angalau once per day;

"Mungu, nifanye niwe nyenzo yako ya amani; penye chuki,
pandikiza upendo; penye jeraha, samehe; penye kukosa
maelewano, unganisha; penye wasiwasi, tia imani; pale penye
kukata tamaa, weka matumaini; pale penye giza, tia mwanga; pale
penye huzuni, tia furaha. Mungu, nipe kile ninachoomba kisiwe
cha kunifariji mimi tu bali kiwe cha kuwafariji na wengine, niweze kueleweka
na kuelewa, niweze kupendwa na kupenda, kwani tutoavyo ndivyo
tupatavyo, ni katika kusamehe ndipo nasi tunasamehewa na ni
katika kufa ndipo tunazaliwa kwenye maisha ya milele."

Kama yote yatashindikana NITAFUTE MIMI NITAMALIZA MATATIZO YAKO YOTE!!!!!!!!!!!!
 
Kama yote yatashindikana NITAFUTE MIMI NITAMALIZA MATATIZO YAKO YOTE!!!!!!!!!!!![/QUOTE]

Asante sana kwa sala nzuri. Well he is a 7 class and i have a diploma. B4 married he asked me if i will be able to stand with a person of such level and i told him education has nothing to do with love. so long he know his responsiblities and fulfill them. Ama! Shanga nazo niliweka and he said hazimpii extra fillings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…