Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

mmh,Hapo Kazi ipo Jitaidi uangalie pande zote nikimaanisha na wewe, may be kuna vitu pia unafanya vinamkwaza huyo Husband' and always mtu akianza kutokuwa muwazi kuna mambo ambayo sio mazuri anafanya ambapo ukiwa mtulivu na ukafuatilia kwa undani utaelewa tatizo likowapi coz hawa wanaume sometimes wanamambo yao vilevile unaweza kukuta alikuwa anampenda sana mke wake wa mwanzo na amemkumbuka si unajua mavi ya kale Hayanukii"""""""

asante kwa ushauri wako mzuri mage, ni kweli huwezi jua may be kakumbukia. Ila kwa huyu bwan sio rahisi maana hata mke hataki aende kuona watoto wake. So i think it is some how disturbing him. Time will tell for everything my dears. asanteni
 
Hi dada pole sana na mkasa huo. mengi yameongelewa, lakini me jambo moja kukupa. Japo wengi hawaamini. piga chini magoti muulize Mungu kwani yeye hakuna kinachshindikana. Kama huyo mwanume ni wako Mungu atambadislisha tu. Na hilo swala la kusema kuwa anachoka na kazi huo ni uongo. kwani anafanya kazi ya workshop au anabeba magunia ya mahidi?. Huyo dawa yake ni ndogo kabisa. Wala huna haja ya kusononeka wala kuumia. We piga magoti funga sali kwa imani Mungu wetu sio mwanadamu. Kama mapepo yanatoka sembuse huyo mzima kanisa. Huyo dada atakuwa amepata kipozeo basi akifika home anakuona kama kidampa. wala usije kujidanganya kuwa uende kwa wagaga. We Funga na kusali tu. Hilo ndilo dawa komesha.
Pole sana mamy.
 
Penny lakini nani kakwambia siku hizi kuna mambo ya kuunganishiana wanaume ..
eeeh !!!
 
Back
Top Bottom