Penny
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 575
- 50
- Thread starter
-
- #81
mmh,Hapo Kazi ipo Jitaidi uangalie pande zote nikimaanisha na wewe, may be kuna vitu pia unafanya vinamkwaza huyo Husband' and always mtu akianza kutokuwa muwazi kuna mambo ambayo sio mazuri anafanya ambapo ukiwa mtulivu na ukafuatilia kwa undani utaelewa tatizo likowapi coz hawa wanaume sometimes wanamambo yao vilevile unaweza kukuta alikuwa anampenda sana mke wake wa mwanzo na amemkumbuka si unajua mavi ya kale Hayanukii"""""""
asante kwa ushauri wako mzuri mage, ni kweli huwezi jua may be kakumbukia. Ila kwa huyu bwan sio rahisi maana hata mke hataki aende kuona watoto wake. So i think it is some how disturbing him. Time will tell for everything my dears. asanteni