wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nifanyeje nikikumbuka vya huku jf nisicheke peke yangu maana kuna mda unakuta natembea alafu nikikumbuka baadhi ya majibu ya member humu najikuta naangua kicheko peke yangu hadi najishtukia[emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app