Naombeni ushauri

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Habari kwenu Wana bodi,

Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania.

Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi.

Naombeni ushauri. Je, mawazo yangu ni sahihi, na kama ni sahihi taratibu za usajili zipo vipi.

Asanteni sana, Mungu awabariki.
 
Iko chama kitaendeshwa kwa Fedha ya nani tujue kwanza.
 
Shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi.
Nini maana ya shirikisho? Maslahi yapi ya walimu wa sayansi wapewe na sio walimu wote? Be careful, msipende kuropoka tu mnataka muendelee kuwajazia mavyama kibao walimu ili mpige pesa za wajinga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…