naombeni ushauri

naombeni ushauri

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
habari,naombeni,ushauri,wenu,kuhusu,uyu,rafiki,yangu,wakike.anamchumba,wake,waliedumu,nae,kwamuda,wa,miezi,8,na
nawalitarajia,kufunga,ndoa,mwezi
wakumi.lkn,mchumba,wake,akamwambia,aende,kwanza,nyumbani,ili,akirudi,process,zianze,kufuatwa.alivyofika,nyumbani
akakuta,baba,yake,kamtafutia,mchumba,bila,kumwambia,naameshamtolea,mahari,hivyo,akimtaka,amuoe,uyo,wakijijini,lkn,yeye,hakukubaliana,nababa,yake,kukawa,namtafaruku,adi,ikafikia,hatua,ya,uyo,kijana,akanywa,sumu,bt,alipona,lkn,mpaka,sasa,hanamuelekeo.
 
hebu edit kwanza habari yako.....mikoma yote hiyo ya nini.....?
 
Si aoe tu aliyemchagua yeye kwani lazima aoe mchumba wa kutafutiwa?
 
habari,naombeni,ushauri,wenu,kuhusu,uyu,rafiki,yangu,wakike.anamchumba,wake,waliedumu,nae,kwamuda,wa,miezi,8,na
nawalitarajia,kufunga,ndoa,mwezi
wakumi.lkn,mchumba,wake,akamwambia,aende,kwanza,nyumbani,ili,akirudi,process,zianze,kufuatwa.alivyofika,nyumbani
akakuta,baba,yake,kamtafutia,mchumba,bila,kumwambia,naameshamtolea,mahari,hivyo,akimtaka,amuoe,uyo,wakijijini,lkn,yeye,hakukubaliana,nababa,yake,kukawa,namtafaruku,adi,ikafikia,hatua,ya,uyo,kijana,akanywa,sumu,bt,alipona,lkn,mpaka,sasa,hanamuelekeo.

hizo comma vipi mbona inachosha hiyo habari embu edit kwanza.

huyo rafiki yako alikunywa sumu kwasababu ya mpenzi wake wa mjini hataki kumuumiza kwa kutokumuoa au alikunywa kuwakomoa wazazi????? na huyo msichana wa kijijini amekubali au amelazimishwa? kama kalazimishwa waungane kupinga hiyo ndoa. Ila mi naona awe na huyo wa mjini anayempenda.
 
A strong man stands on what he balieve that its right for him. Hakukuwa na sababu ya kutaka kujiua kwani kuoa ni uamuzi wake na sio wa wazazi wake. Kama mpaka sasa haelewi afanye nini sidhani kama kuna ulazima wa kumshauri kwani huyo ana dalili zote za UDHAIFU
 
Ntajificha hapa pembeni mpaka hapo utakapo edit kazi yako na kujifunza matumizi ya alama za uandishi.
 
Huyu jamaa ana kichwa kigumu si mara ya kwanza kuanzisha thread yenye koma nyingi. Tafuta mtu akufundishe namna ya kutumia vzr mchina au ndy umeona unavyoleta hv utapata msaada?
 
Kwa kweli hata mimi nimeshindwa hiki kiswahili cha mleta mada
 
Kwani mpaka leo bado watu wanatafutiwa wake/waume?
 
Huyu jamaa ana kichwa kigumu si mara ya kwanza kuanzisha thread yenye koma nyingi. Tafuta mtu akufundishe namna ya kutumia vzr mchina au ndy umeona unavyoleta hv utapata msaada?

mimi
co
jamaa
ni
binti.
na
cm
yangu
co
mchina
ni
samsung
original
ukiacha
space
unaingia
line
nyingine
kama
ivi
haya
nimekutafuta
wewe
nifundishe
twende
sawa.
 
arranged marriage ni nzuri sana.
wataelewana huko mbele ya safari tu.
BTW.poor writing skill.
 
Back
Top Bottom