habari,naombeni,ushauri,wenu,kuhusu,uyu,rafiki,yangu,wakike.anamchumba,wake,waliedumu,nae,kwamuda,wa,miezi,8,na
nawalitarajia,kufunga,ndoa,mwezi
wakumi.lkn,mchumba,wake,akamwambia,aende,kwanza,nyumbani,ili,akirudi,process,zianze,kufuatwa.alivyofika,nyumbani
akakuta,baba,yake,kamtafutia,mchumba,bila,kumwambia,naameshamtolea,mahari,hivyo,akimtaka,amuoe,uyo,wakijijini,lkn,yeye,hakukubaliana,nababa,yake,kukawa,namtafaruku,adi,ikafikia,hatua,ya,uyo,kijana,akanywa,sumu,bt,alipona,lkn,mpaka,sasa,hanamuelekeo.
Huyu jamaa ana kichwa kigumu si mara ya kwanza kuanzisha thread yenye koma nyingi. Tafuta mtu akufundishe namna ya kutumia vzr mchina au ndy umeona unavyoleta hv utapata msaada?
Kwa kweli hata mimi nimeshindwa hiki kiswahili cha mleta mada
Ntajificha hapa pembeni mpaka hapo utakapo edit kazi yako na kujifunza matumizi ya alama za uandishi.
Kwani mpaka leo bado watu wanatafutiwa wake/waume?
oohh nyama ya kuku wa kienyeji ni tamuu sana ohh nasema!!!1
hebu edit kwanza habari yako.....mikoma yote hiyo ya nini.....?
kiswahili
au,mpangilio
wa,maandishi?
hahahahahah nilitegemea nilichokikuta jifiche hapo hapoNtajificha hapa pembeni mpaka hapo utakapo edit kazi yako na kujifunza matumizi ya alama za uandishi.
Mkuu lugha ikikosa mpangilio haileti maana